Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

YANGA YAJIPIGIA SINGIDA UNITED 3-1, EYMAEL ACHEKELEA USHINDI

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo amesepa na pointi tatu muhimu kwa mara ya kwanza kwa ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Singida...

VPL : SINGIDA UNITED 0-1 YANGA

0
Dakika ya 24 Morison anapiga kona inakoswa na MolingaDakika ya 23 Moris anachezewa rafu nje kidogo ya 18Dakika ya 22 Molinga anacheza fauloDakika ya...

MBELGIJI WA YANGA APEWA ONYO

0
Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya Tanzania (Kamati ya Saa 72) imetoa onyo kali kwa Kocha wa Yanga Luc Eymael kwa...

LIVERPOOL YAGOMEA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND

0
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa hawezi kujitangazia ubingwa kwa sasa kwa kuwa safari bado ngumu kuelekea kwenye ubingwa.Liverpool wapo nafasi ya...

MBELGIJI WA YANGA KUKUTANA NA BALAA JINGINE TENA NJE YA DAR...

0
LEO Januari, 22 macho na masikio ya mashabiki ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Namfua, uliopo mkoani Singida utakaoikutanisha Singida...

JESHI LA YANGA LIAKALOANZA LEO DHIDI YA SINGIDA UNITED

0
1-Metacha Mnata2-Juma Abdul3-Jaffary Mohamed4-Lamine Moro5-Said Juma Makapu6-Papy Tshishimbi7-Deus Kaseke8-Haruna Niyonzima9-David Molinga11-Mapinduzi Balama11-Bernard MorrisonAkibaFarouk ShikaloAdeyun Saleh AbdulAziz Makame BuiMrisho NgassaPatrick SibomanaAdam Stanley Yikpe Gislai

YANGA: TUTAREJESHA FURAHA ILIYOPOTEA

0
 ANTONIO Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga amesema leo timu yao itapambana kupata matokeo chanya mbele ya Singida United.Yanga iliyo chini ya Mbelgiji, Luc Eymael...

HAO ASTON VILLA WAINYOOSHA WATFORD USIKU SANA

0
DOUGLAS Luiz, nyota wa Aston Villa alirejesha nguvu kwenye timu yake dakika ya 68 baada ya kufunga bao kali la kusawazisha bao la wapinzani...

SAMATTA ACHA KABISA, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI...

0
BALAA Zito kwa Samatta, Muonekano wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, Januari, 22

KAKOLANYA ALAMBA SHAVU SIMBA

2
KOCHA wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameonekana kuvutiwa zaidi na kiwango cha kipa Beno Kakolanya, hiyo ni baada ya kumpa shavu kipa huyo kuanza...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS