Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

TAMBWE AIKOSOA SAFU YA ULINZI SIMBA, ATUMA OMBI KWA MBELGIJI

0
Straika wa Yanga kutoka Burundi, Amis Tambwe, amefunguka kwa kusema kuwa amefurahishwa na nafasi ya ushambuliaji ya Simba kufuatia ushindi waliopata katika mechi ya...

KOCHA SIMBA: TFF WANAIANGUSHA YANGA

0
Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Mbelgiji Patrick Aussems, amesema kuwa haoni dalili nzuri ya kufanya vema kwa timu za Tanzania katika michuano ya...

DAVID LUIZ APIGIWA CHAPUO LA UNAHODHA ARSENAL

0
KOCHA wa Arsenal,Unai Emery ameshauriwa kumteua David Luiz kuwa nahodha mpya wa timu hiyo.Luiz alijiunga na Arsenal hivi karibuni akitokea Chelsea Kwa ada ya...

ISHU YA POGBA KUSEPA NDANI YA MANCHESTER UNITED MENEJA AFUNGUKA

0
MENEJA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa kiungo Paul Pogba atabaki ndani ya kikosi.Popga amekuwa akihusishwa kusepa ndani ya kikosi hicho ambacho...

BIASHARA UNITED YAIPIGIA HESABU ZA MBALI KAGEA SUGAR

0
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa kazi kubwa kwa sasa wanaiwekeza kuandaa kikosi kitakacholeta ushindani msimu ujao.Amri Said Kocha Mkuu wa Biashara United amesema...

MANULA AVUNJA UKIMYA, AFTOA TAMKO KUHUSIANA NA KAKOLANYA

0
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula amekiri kuwa kiwango cha kipa mwenzake, Benno Kakolanya kipo juu na anaamini atakuwa na msaada mkubwa katika...

NINJA AIBUA MSALA MECHI YA KWANZA TU AKIWA NA LA GALAXY...

0
Beki mpya wa Klabu ya LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Marekani MLS, Abdallah Shaibu ‘Ninja’,  amecheza mchezo wake wa kwanza akiwa na...

NINJA AKABIDHIWA NAMBA 51

0
BEKI wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ juzi Ijumaa alitambulishwa rasmi katika mtandao wa klabu ya La Galaxy II kama mchezaji wa timu...

MTIBWA SUGAR: TUPO TAYARI KWA LIGI

0
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema maandalizi ya kikosi kwa ajili ya msimu mpya yanakwenda vizuri.Mtibwa Sugar kibarua chake cha kwanza itakuwa...

YANGA YAFANYA KWELI DAKIKA ZA USIKU, YAJIPIGIA AFC LEOPARDS

0
KIKOSI cha Yanga leo kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa leo uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.Bao...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS