Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

NEWCASTEL UNITED KUTUMIA AKILI LEO MBELE YA ARSENAL

0
STEVE Bruce, Meneja wa kikosi cha Newcastle United amesema kuwa leo atapambana kupata matokeo chanya mbele ya Arsenal. "Tunajua kwamba mchezo utakuwa mgumu hilo lipo...

ARSENAL KUANZISHA MASHINE ZAKE MPYA LEO MBELE YA NEWCASTLE UNITED

0
UNAI Emery, Meneja wa Arsenal amesema kuwa leo atawatumia wachezaji wake wengi wapya kwa kuwa anaamini wapo fiti.Mchezo wa kwanza leo Arsenal atamenyana na...

AZAM FC KUTUPA KARATA YAO YA KWANZA LEO KIMATAIFA

0
AZAM FC, leo wana kazi ya kutupa kete ya kwanza mbele ya Fasil Kenema nchini Ethiopia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa majira...

TANZANITE YABEBA KOMBE LA COSAFA, YALIPA KISASI KWA ZAMBIA LEO

0
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' leo imetwaa ubingwa wa michuano ya COSAFA nchini Afrika Kusini baada ya kulipa kisasi...

SIMBA WAIKOMALIA YANGA, WAIPA TANO KISHA KUICHANA KIMTINDO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Yanga wanastaihili pongezi ila wamewaangusha wananchi kwa kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Township Rollers jana uwanja...

ZAHERA AFICHUA KINACHOIMALIZA YANGA, APANIA KUPETA UGENINI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa bado kikosi chake hakijawa na maelewano mazuri jambo ambalo liliwapa taabu kupata matokeo kwenye mchezo wao...

SIMBA WAREJEA BONGO KUIWAHI AZAM FC

0
KIKOSI cha Simba baada ya kumaliza mchezo wao wa kimataifa dhidi ya UD do Songo nchini Msumbiji kilikwea pipa na kurejea Bongo.Simba walikuwa ugenini,...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili.

TANZANITE KUMALIZANA NA ZAMBIA LEO COASAFA

0
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' leo itakuwa kazini kumenyana na timu ya Taifa ya Wanawake ya Zambia.Tanzanite imealikwa kwenye...

JESHI LA KMC KIMATAIFA LEO HILI HAPA DHIDI YA AS KIGALI

0
KIKOSI cha KMC kitakachowavaa leo AS Kigali ya Haruna Niyonzima leo nchini Rwanda
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS