admin
SIMBA: MSIMU UJAO MOTO UTAWAKA, TUTAPAMBANA KUFIKIA MALENGO
BENO Kakolanya mlinda mlango wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufikia malengo waliyojiwekea kutokana na aina ya kambi waliypo kwa sasa. Simba ipo...
YANGA YATAJA KINACHOMKWAMISHA KIPA MPYA WA KENYA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kilichomchelewesha mlinda mlango wao mpya, Farouk Shikalo kujiunga na timu hiyo ni makubaliano yao na timu yake ya zamani...
HICHI NDICHO KILICHOWAFELISHA SENEGAL AFCON 2019
NYOTA wa timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mane amesema kuwa kilichowaponza washindwe kutwaa kombe la Afcon mwaka 2019 ni kushindwa kutumia nafasi walizozipata.Senegal...
REAL MADRID YATAKA BALE ASEPE, ZINEDINE APEWA JUKUMU HILO
MENEJA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema kuwa hana tatizo na mchezaji wake Gareth Bale ila klabu inahitaji asepe ndani ya kikosi hicho ifikapo...
NYOTA MPYA ANAYETAJWA KUWINDWA NA SIMBA ANAZIONEA NYAVU ZA WAPINZANI KINOMA
JUSTIN Shonga mshambuliaji wa kikosi cha timu ya Orlando Pirates mwenye miaka 22 ni mkali wa kutupia akiwa ndani ya timu yake ya Taifa...
LIVERPOOL YAMKINGIA KIFUA MANE KUTIMKIA MADRID
SADIO Mane nyota wa Liverpool amekingiwa kifua na mabosi zake hao juu ya suala lake la kuhitajika na kikosi cha Real Madrid.Mane ambaye ni...
AZAM FC WABABE WA WACONGO KAZINI LEO FAINALI
LEO kikosi cha Azam FC ambao ni wababe kwa timu zote za Congo walizokutana nazo ambazo ni TP Mazembe na Manyema FC kitakuwa na...
YANGA: MSIMU UJAO TUTAFANYA MAAJABU
MLINDA Mlango wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Metacha Mnata amesema kuwa msimu ujao lazima wapambane kufikia malengo ya timu kutokana na...
SIMBA YATUMA UJUMBE MZITO KWA YANGA
JOHN Bocco nahodha wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufa na kupona kutetea taji lao na kufanya vyema michuano ya kimataifa.Simba ni mabingwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili