admin
YANGA YASIMAMISHA ZOEZI LA USAJILI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna hesabu za kusajili wachezaji wengine wa kigeni baada ya kukamilisha asilimia 90 za wachezaji waliokuwa wanahitajika...
MANCHESTER UNITED WAMTAKA KIUNGO WA WESTHAM UNITED
MANCHESTER UNITED imewasiliana na uongozi wa West Ham United kuona namna gani wanaweza wakakamilisha dili la kumpata mchezaji Declan Rice.United wameonyesha uhitaji mkubwa wa...
Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni…
Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga Mwinyi Hajji yupo katika rada za wana “Kino Boys” KMC ili kukiimarisha kikosi chao.Mwinyi Haji...
Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20
Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata...
BREAKING: BEKI MWILI JUMBA AMLIZANA NA SIMBA LEO MIAKA MIWILI
MCHEZAJI wa Singida United, Keneddy Juma ''mwili jumba' leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.Juma anakuwa mchezaji wa pili...
ALLIANCE FC WAMCHUNIA MALALE HAMSINI
KOCHA wa Alliance FC, Malale Hamsini amesema kuwa tayari amemaliza mkataba wake ndani ya kikosi hicho hivyo kwa sasa yupo huru kujiunga na kikosi...
MAKOSA YA MSIMU ULIOPITA YAIPA SOMO SINGIDA UNITED
UONGOZI wa Singida United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Fred Minziro umesema kuwa makosa yaliyojitokeza msimu uliopita hayatatokea tena msimu mpya wa 2019/20.Akizungumza na...
NYOTA MPYA WA AZAM FC APANIA MAKUBWA
NYOTA mpya wa Azam FC, Idd Suleiman 'Nado' amesema kuwa ana kazi kubwa ya kufanya kwa sasa kutokana na kujiunga na moja ya timu...
TIFFAH AMRUSHA ROHO BABA YAKE
DAR ES SALAAM: Watoto wawili ambao ni uzao wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mwenye pesa zake, Zarinah Hassan...
YANGA NOMA, YAMALIZANA NA MAJEMBE TISA FASTA, LISTI YAO KAMILI HII...
UNAAMBIWA Yanga si ya mchezomchezo kwani hawataki kabisa utani, mpaka sasa tayari wamemalizana na majembe makali tisa ambayo ni chaguo la Kocha Mkuu, Mwinyi...