admin
KAZI IMEANZA AZAM FC, YAMCHOMOA WINGA MATATA MBEYA CITY
Idd Seleman 'Nado',amesajiliwa na Azam FC kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Mbeya City.Nado amesaini mkataba huo mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam...
YANGA YAKAMILISHA ASILIMIA 90 YA USAJILI WA ZAHERA,
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa umekamilisha mchakato wa usajili wa wachezaji wake kwa asilimia 90 kutokana na maagizo ya kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.Mwenyekiti...
WEMA SEPETU ASWEKWA NDANI HADI JUNI 24
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu, kukaa mahabusu...
MAMBO MAWILI MAKUU YALIYOWAFANYA SIMBA WAMALIZANE NA KAGERE CHAPCHAP
Uamuzi wa Simba kumuongezea mshambuliaji wake Meddie Kagere miakaMiwili umeelezwa umtokana na mambo mawili makubwa.MOJA:Ni baada ya Kagere raia wa Rwanda lufanya vema msimu...
PASIPOTI YAMZUIA AIYEE KWENDA SWEDEN
STRAIKA wa Mwadui Salim Aiyee ameshindwa kwenda nchini Sweden baada ya Pasipoti yake kutokukamilika kwa wakati.Aiyee alitakiwa kusafiri Juni 15, kwenda nchini Sweden kwa...
TAIFA STARS INAHITAJI MICHANGO, MWAKYEMBE AFUNGUKA – VIDEO
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe, amewaomba Watanzania kuichangia Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo ipo Misri kwa ajili ya...
SIMBA YAAGIZA STRAIKA WA KIMATAIFA
MAMBO ni moto Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuingia msituni kutafuta bonge la Straika ambaye atakuwa ni moto...
SIKU YA KUMTAMBULISHA AJIBU SIMBA YATANGAZWA
TIMU ya Simba inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21, mwaka huu dhidi ya timu ya Gwambina FC, ambapo Mchezo huo ambao utapigwa Uwanja...
KOCHA WA SADIO MANE ATOA KAULI YA KIBABE KWA STARS
KOCHA wa timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa nyota wake Sadio Mane ataukosa mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa michuano ya...
KUMEKUCHA AZAM FC, NDAYIRAGIJE KUANZA NA HILI
KOCHA wa Azam FC, Etiene Ndayiragije amesema kuwa anahitaji kuboresha kikosi na hesabu zake ni kwenye kuongeza wachezaji wakali wenye uwezo.Ndayiragije amelamba mkataba wa...