Marce Ben Komba
KOCHA SIMBA AMPIGA KO NABI…BALEKE AMCHAKAZA MAYELE VIBAYA MNO
Straika Jean Baleke, kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveria 'Robertinho' na Meneja wa uwanja wa Highland Estate, Malule Omary wamekabidhiwa tuzo zao za mwezi...
VITA YA IHEFU NA BALEKE YAKOSA MWAMUZI…ISHU NZIMA IKO HIVI
Mshambuliaji Mkongo, Jean Toria Baleke Othos ametumia dakika
nane za mwisho kuifungia Simba SC mabao yote ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC...
YANGA KUSHIRIKI LIGI HII YA WAFALME KWA MBELEKO…TFF YAHUSIKA…ISHU NZIMA A-Z...
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa Simba na Yanga kwa pamoja zikashiriki mashindano ya Africa Super...
KUELEKEA MECHI NA RIVERS…YANGA YAFANYIWA FIGISU HII…CAF YATUMIKA KUKAMILISHA MPANGO HUO
Klabu ya Rivers United wameomba mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Yanga upigwe katika uwanja wao...
YANGA YAIPASUA KICHWA SIMBA…YAFANYIWA FIGISU KUBADILISHIWA UWANJA
Dar es salaam April 10, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MSHAMBULIAJI LIGI KUU AWEKA WAZI…WANASUBIRIA MIUJIZA ITENDEKE…AMEZUNGUMZA HAYA
MSHAMBULIAJI wa Polisi Tanzania, Ambrose Awio ameweka wazi kikosi hicho kinahitaji miujiza kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao baada ya kupoteza kwa mabao...
MFAHAMU SHABIKI HUYU KIPOFU WA SOKA…HAJAWAHI KUKOSA UWANJANI
Hii ni sanamu ya aliyekuwa shabiki Mkubwa wa Valencia Vicente Navarro Aparicio ambaye alifariki dunia mwaka 2017.
Valencia waliguswa hadi kujenga sanamu yake ndani ya...
SIMBA ACHENI KUMKANDAMIZA MZAMIRU…ALIPWA MSHAHARA MDOGO KULIKO SAWADOGO
Achana zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba...
YANGA YAPIGA MKWANJA HUU MZITO…SIMBA MATE YAWADONDOKA…ISHU NZIMA HII HAPA
HUENDA hujui, ila ukweli ni kwamba hata kabla Ligi Kuu Bara haijafikia tamati, tayari timu za kumaliza kwenye nafasi Nne Bora kwa msimu huu...
SIMBA YATELEKEZWA NA MASHABIKI WAKE MECHI NA IHEFU…MAMA NTILIE WAGEUKA MASHABIKI
Pamoja na milango kufunguliwa mapema lakini bado idadi ya mashabiki waliofika uwanjani kishuhudia mchezo wa Ihefu na Simba ni ndogo.
'Tangu saa 5 asubuhi milango...