FUNDI WA KUCHEKA NA NYAVU ATOA TAMBO ZA KUTOSHA KABLA YA KUTUA YANGA
NYOTA wa Lipuli, Daruesh Saliboko amesema kuwa iwapo Yanga watakamilisha dili lake kutua makao makuu ya Jangwani watafurahi wenyewe kwani atatatua tatizo la ubutu wa kucheka na nyavu.Saliboko kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa Machi 17 na Serikali kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona alikuwa ametupia mabao nane na katika hayo alipiga hat trick mbele ya Singida United.Akizungumza...
JAMES KOTEI ATAJA SABABU ZITAKAZOMRUDISHA SIMBA
JAMES Kotei, kiungo mkabaji ambaye alicheza kwa mafanikio ndani ya Klabu ya wa Simba amesema kuwa anapenda kurudi ndani ya Simba kwa kuwa hakuzinguana na viongozi wakati akicheza msimu uliopita kabla ya kutimka jumla.Kocha wa wakati huo aliyekuwa naye Kotei ndani ya Simba Patrick Aussems alisema kuwa alikuwa anahitaji huduma ya Kotei ila mambo yalikuwa magumu kwani ilishindakana kubaki."Miongoni...
MWAMNYETO, NYOTA ANAYEWINDWA NA SIMBA NA YANGA ATOA YA MOYONI
BEKI Chipukizi anayekipiga ndani ya Coastal Union, Bakari Mwamnyeto amesema kuwa ikitokea amepata dili la kujiunga ndani ya Simba ama Yanga atacheki maslahi ili akapige kazi kwenye timu hizo.Sarakasi za kuipata saini ya Mwamnyeto imekuwa ikiripotiwa mara nyingi ambapo Simba inaelezwa kuwa wapo mstari wa mbele kuipata saini yake na Yanga pia wakiwa karibu na nyota huyo.Akizungumza na Saleh...
MBRAZILI WA SIMBA AJIPA JINA JIPYA, HILI HAPA
GERSON Fraga, nyota wa Simba ambaye ni raia wa Brazil amesema kuwa mtindo wake wa ushangiliaji ni jina lake jipya ambalo amepewa na mashabiki pamoja na wachezaji wenzake.Fraga amehusika kwenye mabao matatu kati ya 63 yaliyofungwa na Simba kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu ambapo aliwafunga Coastal Union mabao mawili na KMC aliwatungua bao moja.Akizungumza kuhusu mtindo wake wa...
MTIBWA SUGAR; TIMU ZOTE ZIUNGANE KUPAMBANA NA CORONA
Wachezaji wa Mtibwa Sugar kabla ya Ligi kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya CoronaTHOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kwa sasa ni muhimu timu zote Bongo kuungana kuongeza nguvu ya kupambana dhidi ya Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Kifaru amesema kuwa kwa sasa dunia inapambana kutafuta njia ya kutokea kwenye...
HILI NDILO JEMBE ANALOLIKUBALI KOCHA MKUU WA SIMBA
Wachezaji wa Klabu ya Namungo wakiongozwa na Kikoti mwenye jezi namba nane wakiwa kwenye furaha kabla ya Ligi kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa anavutiwa na uwezo wa kiungo anayekipiga ndani ya Namungo FC, Luka Kikoti.Kikoti amekuwa kwenye ubora wake ambapo kwenye mchezo walipokutana na Simba Uwanja wa Taifa alimtungua bao...
KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA KAGERA SUGAR HIKI HAPA
MECK Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kikosi chake kilikuwa kinabebwa na nidhamu pamoja na kujituma kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimamishwa ili kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia.Akizungumza na Saleh Jembe, Maxime amesema:"Tulikuwa katika kupambana kufikia malengo yetu na kilichokuwa kinatubeba ni ushirikiano wa kila...
MNATA ATAJA ANACHOKIPATA KUTOKA KWA SHIKALO
METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa anakubali uwezo wa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo kutokana na kuwa na vitu tofauti.Shikalo raia wa Kenya ni mlinda mlango namba moja huku namba mbili akiwa ni Mnata ambaye ni mzawa.Mnata amesema:"Nimekuwa nikijifunza mengi kupitia kwa Shikalo ambaye ni kipa mwenzangu ndani ya Yanga, jambo hilo...
BERNARD MORRISON;MAMBO YANGEKUWA SAWA, NINGESAINI SIMBA
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa kama mabosi wa Simba wangemalizana na meneja wake basi angesaini jumlajumla kwa watani hao wa jadi ila haikuwezekana.Morrison alikuwa anawindwa na Simba ambao walikuwa wanahitaji huduma yake baada ya kugundua kwamba alisaini kandarasi ya miezi sita alipotua Bongo.Kiungo huyo amesema:"Mchezaji mzuri anajulikana kutokana na kazi yake ndani ya uwanja, Simba walikwama...