YANGA LEO TUNAMALIZANA MAHESABU MAPEMA KWA TOWNSHIP ROLLERS

0

NOEL Mwandila, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mechi ya hatua ya kwanza ya klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana utakaopigwa lleo uwanja wa Taifa.Mwandila amesema maandalizi ya wiki nne waliyofanya kuelekea msimu mpya wa ligi yametosha na wana matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika uwanja wa nyumbani. "Maandalizi yamekamilika wachezaji...

DUH HAWA NDIO WABAYA WA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA

0

 1959 ni mwaka ambao Township Rollers ilianzishwa nchini Botswana na leo itamenyana na Yanga uwanja wa Taifa majira ya saa 12:00Jumla ya mataji 15 imetwaa na inatumia mfumi wa 4-3-3 na inapenda kushambulia kwa kutumia njia ya pembeni.Washambuliaji wao wakali ni pamoja na Ditlhokwe, Joel Morogosi wanapenda kukaa mbele peke yao wakisubiri mashambulizi ya kushtukiza. Leo wanamnyana na Yanga, ambao...

KAGERA ATOA NENO ZITO UKO SIMBA,ZAHERA ATOA NENO KWA TOWNSHIP ROLLERS

0

KESHO ndani ya CHAMPIONI Jumamosi kuna ishu ya Simba huko Msumbiji bila kusahau Yanga na mipango yao kimataifa, makala na chambuzi makini

YANGA SASA KULA SAHANI MOJA NA WABOTSWANA, WATUA BONGO KIBABE

0

YANGA leo imerejea kutoka visiwani Zanzibar ambapo waliweka kambi maalumu kujiandaa na mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Township Rollers utakaochezwa kesho uwanja wa Taifa.Yanga itamenyana na Township Rollers ya Botswana majira ya saa 12:00 uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa awali wa kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa. Mchezo wa pili wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25...

NJAA ALIYONAYO KAGERE, IINGIE KWENU ILI MPIGANIE MAFANIKIO

0

Na Saleh AllyWIKIENDI hii msimu mpya wa 2019/20, utaanza rasmi katika sehemu mbalimbali duniani. Tunaanza kuona mpira wa ushindani na kujifunza mengi wakati tukiburudika.Wakati tunakwenda kuanza msimu, kabla ya kuanza kupata mapya tunaweza kujifunza mengine ili kuingia katika msimu mpya tukiwa na kile kinachotuwezesha kutafakari.Moja ya hayo ni kuhusiana na namna ambavyo mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere anaonekana kuwa...

CHONDE YANGA HAWA TOWNSHIP ROLLERS SI WATU WA KUBEZA HATA KIDOGO

0

NA SALEH ALLYKESHO Yanga watakuwa kazini kuwawakilisha Wanayanga na Watanzania katika mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Township Rollers kutoka nchini Botswana.Rollers si wageni hapa Tanzania, mara ya mwisho walicheza na Yanga katika michuano hiyohiyo na kuwatoa kwa jumla ya mabao 2-1. Pamoja na hivyo, Rollers walionyesha soka safi na la kuvutia na kutuacha Watanzania tukitafakari, kwamba itakuwaje...

MAGUIRE, POGBA KUIVAA CHELSEA JUMAPILI

0

MANCHESTER United imethibitisha kuwa nyota wao mpya Harry Maguire na kiungo wao fundi, Paul Pogba wataanza kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea.Maguire amemalizana na Manchester United akitokea Leicester City kwa dau la pauni milioni 80 siku ya Jumatatu.Pogba alikuwa anasumbuliwa na majeraha kwa sasa yupo fiti kuendelea kupambana ndani ya kikosi hicho, Meneja wa Manchester...

MABINGWA SIMBA WAANZA KUWATISHA UD do SONGO, KUPIGA MAZOEZI YA MWISHO LEO

0

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kwa sasa wameshatia timu nchini Msumbuji kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa kesho dhidi ya UD do Songo utakaochezwa kesho.Simba imekwea pipa leo asubuhi kutoka Bongo kwa dege binafsi ili kukwepa usumbufu na wanatarajia kurejea kesho baada ya kumaliza mchezo huo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo...

WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA WANYAKA MAFAILI YANGA WANA KAZI YA ZIADA KESHO

0

WAPINZANI wa Yanga kimataifa timu ya Township Rollers wameanza kuwasomea ramani wapinzani wao Yanga kabla ya kesho kwa kuiba mbinu zao kabla ya kukutana nao uwanja wa Taifa.Yanga itawakaribisha kesho Township Rollers kutoka Botswana kwenye mchezo wa kwanza wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa uwanja wa Taifa.Leo Township Rollers wamekaa na kuangalia baadhi ya mechi za Yanga...

MAANDALIZI NDANI YA SINGIDA UNITED YAMEPAMBA MOTO

0

UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi ya nguvu kuelekea msimu ujao.Singida United imejichimbia Singida kwa sasa kwa maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Singida United, Cales Katemana amesema kuwa kikosi kipo sawa kwa ajili ya msimu ujao na maandalizi yaaendelea."Kwa sasa kikosi kipo kambini na maandalizi...