YANGA: TUNASUKA KIKOSI MATATA

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wamejipanga kufanya maajabu msimu ujao hivyo watatumia muda huu wa maandalizi kusuka kikosi imara.Akizungumza na Saleh Jembe, Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kusuka kikosi makini."Tunajua msimu ujao utakuwa na ushindani pia tuna kazi ya kufanya kimataifa hivyo tunaandaa kikosi imara cha ushindani," amesema.Yanga imeweka kambi Morogoro,...

MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE

0

LIONEL Messi ni mshambuliaji wa Barcelona na nahodha pia wa kikosi hicho amesema kuwa hana neno juu ya usajili wa nyota mpya Antonie.Messi amesema kuwa hana neno la kusema juu ya usajili wa Antoine Griezmann ndani ya kikosi hicho."Sina la kusema juu ya usajili wake ndani ya kikosi chetu," amesema.

AZAM FC YAFICHUA SIRI YA USHINDI MBELE YA WACONGO

0

ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa haikuwa rahisi kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kagame kutokana na ushindani walioupata ila jitihada ziliwabeba.Azam imetinga  hatua ya fainali ya michuano ya Kagame baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya AS Maniema ya Congo baada ya kumaliza dakika 120 bila kufungana."Haikuwa rahisi kutinga hatua hii, kila timu...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

DIDA: MANULA ALINIPA HASIRA YA KUPAMBANA

0

DEOGRATIUS Munish 'Dida' amesema kuwa kuwekwa kwake benchi na mlinda mlango namba moja wa Simba Aish Manula kulimuongezea hasira ya kupambana.Dida kwa sasa ameachana na Simba baada ya kumaliza kandarasi yake ya mwaka mmoja alikuwa anawekwa benchi muda mwingi na Manula wakati alipokuwa Simba."Kazi ya kumpanga nani aanze haikuwa mikononi mwangu, kocha ndiye aliyekuwa anaamua hivyo sikuwa na jinsi."Hali...

KUMBE! CAF NDO CHANZO ZA VIPORO BONGO

0

UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa sababu kubwa zilizofanya msimu uliopita kuwe na viporo vingi kwa timu ni kubadilishwa kwa ratiba ya michuano ya CAF.Wilfred Kidao Katibu Mkuu wa TFF amesema kuwa :"Changamoto kubwa kwenye ratiba ya ligi ilitokana na CAF kubadilisha kalenda yake ya mashindano wakati ligi yetu ilikuwa tayari imeanza,".Msimu mpya wa ligi unatarajiwa...

KAGERA SUGAR YAMVUTIA KASI MUIVORY COAST KUMRITHI KASSIM KHAMIS

0

WILLFRED Kouroma mshambuliaji wa Biashara United raia wa Ivory Coast ameingia kwenye rada za uongozi wa Kagera Sugar ambao wanaimarisha kikosi.Inaelezwa kuwa Kagera Sugar wanahitaji huduma ya Kouruma ambaye ataziba pengo la Kassim Khamis ambaye ametimkia Azam FC.Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa kazi kubwa kwa msimu ujao ni kuleta ushindani msimu ujao."Hesabu zetu ni kuona msimu...

NAMUNGO FC KUMCHOMOA MMOJA KUTOKA SIMBA

0

ZANA Coullibary mzee wa kumwaga na kumimina maji sasa ni wazi msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha Namungo FC endapo dili litakamilika akitokea Simba.Kocha wa Namungo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa mipango ya usajili inaendelea hivyo wakati ukifika kila kitu kitakuwa sawa."Tupo sawa kwa ajili ya msimu mpya na kazi yetu ni kusajili wachezaji wenye uzoefu ambao watatuletea...

ALGERIA BINGWA MPYA WA AFRIKA, AMNYOOSHA SENEGAL KIDOGO TU

0

BAGHDAD Bounedjah bao lake la dakika ya pili limetosha kuipa timu ya Algeria ubingwa wa Bara la frika kwa mwaka wa 2019 nchini Misri dhidi ya Senegal ambao hawajaambulia hata bao.Algeria wanaibuka kifua mbele kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Senegal kwenye michuano iliyomalizika nchini Misri.Hii inakuwa ni baada ya miaka 29 kupita hatimaye Algeria wanatawazwa kuwa mabingwa...

JESHI KAMILI LA AZAM FC LEO NUSU FAINALI KAGAME, CHIRWA OUT

0

Kikosi rasmi cha  Azam FC, kinachotarajia kumenyana dhidi ya AS Maniema ya Kongo, kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame, utakaofanyika Uwanja wa Nyamirambo leo Ijumaa saa 12.00 jioni kwa saa Rwanda (saa 1.00 usiku Tanzania). 16 Razak Abalora02 Abdul Omary26 Bruce Kangwa (C)05 Yakubu Mohammed15 Oscar Masai03 Daniel Amoah22 Salmin Hoza 28 Abdallah Masoud20 Paul Peter11...