WATANO WASAINI RASMI YANGA

0

Uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye hatua ya kuwasainisha mikataba mipya nyota wake watano tayari kwa kuwatumia msimu ujao kwenye michuano mbalimbali. Timu hiyo inaanza kambi rasmi ya mazoezi Jumapili ijayo mjini Morogoro.Yanga imeendelea kufanya usajili huo ikiwa ni siku chache tangu wakamilishe usajili wa wachezaji wake wanne, Gadiel Michael, Metacha Mnata, Ally Mtoni Sonso na kipa wa timu ya...

JKT TANZANIA YAMALIZANA NA NYOTA WAKALI SITA FASTA

0

DANNY Lyanga amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kujiunga na kikosi cha JKT Tanzania baada ya kuachwa na Azam FC na kukamilisha jumla ya wachezaji sita waliopigwa pini na JKT Tanzania. Lyanga ameungana na wachezaji wengine watano waliosajiliwa na JKT Tanzania ambao ni pamoja na Jabiri Aziz ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja akitokea African Lyon, Hafidhi Mussa ambaye amesaini...

PSG WATAJA DAU LA KUIKOMOA BARCELONA

0

PARIS St. German (PSG) imewaambia Barcelona iwalipe mkwanja wa pauni milioni 197 sawa na sh.bilioni 573 ili wamwachie Neymar Jr.PSG ililipa kiasi hicho cha fedha wakati ilipomyakua akitoka Barcelona mwaka 2017.Imeelezwa kuwa Neymar kwa sasa hana furaha kubaki ndani ya kikosi hicho, hesabu zake ni kurejea Barcelona.

KUTOKA CAIRO, MSOME AMUNIKE HAPA KUHUSIANA NA MECHI YA KESHO DHIDI YA ALGERIA

0

Na Mwandishi Wetu, CairoKocha wa timu ya taifa Taifa Stars  Emmanuel Amuneke, ana matumaini kuwa bado timu yake ina nafasi ya kufanya vizuri katika mchezo wa tatu wa mashindano ya Mataifa Afrika dhidi ya Algeria,utakaofanyika Julai 1,katika Uwanja wa Al- Salam nchini Misri.Akizungumza na waandishi wa habari,Amuneke,alisema kuwa licha ya kuwa Algeria ina kikosi kizuri,lakini bado ana matumaini makubwa...

MANULA BOMU KWETU, HUKU WENYE MPIRA WAO WANAMUONA YUKO VIZURI

0

Na Saleh Ally, CairoKUNA kikundi cha wataalamu wa kutafuta wachezaji kwa ajili ya timu mbalimbali za ligi za Ulaya hasa kutokea katika nchi za Kaskazini mwa Ulaya, wako hapa nchini Misri kwa kazi maalum.Nchi za Sweden, Denmark, Norway na nyinginezo zikiwemo maalum kama Ubelgiji, Ufaransa na kadhalika wako hapa kufuatilia baadhi ya wachezaji wakichukua takwimu zao.Huu ni utaratibu wa...

BARUA YACHELEWESHA DILI LA MGHANA SIMBA

0

WAKATI mkataba wa nyota wa Simba, Nicholas Gyan raia wa Ghana ukikoma mwezi ujao, imethibitika kuwa beki huyo anasubiri barua tu ili aweke wazi timu anayokwenda.Meneja wa nyota huyo, Juma Ndambi alisema kinachowakwamisha kwa sasa ni barua kutoka Simba na wamekuwa kimya bila kueleza lolote kuhusiana na mkataba wa mchezaji huyo.Meneja huyo aliongeza kuwa mpaka sasa wamepokea ofa kutoka...

KIUNGO MPYA YANGA ATIBU USAJILI

0

MAMBO ni moto Yanga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mpya wa Yanga, Abdulaziz Makame kutibua usajili wa klabu hiyo.Makame ambaye amejiunga na Yanga hivi karibuni akitokea Mafunzo ya Zanzibar, anadaiwa kutibua usajili wa aliyekuwa kiungo wa Singida United, Kenny Ally.Inaelezwa kuwa sababu kubwa ni uwezo wake uwanjani hali ambayo imesababisha uongozi wa timu hiyo umpotezee kiungo hiyo...

STRAIKA SIMBA ASAINI AFRIKA KUSINI

0

MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba ametua rasmi katika kikosi cha TS Sporting ya Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa mkopo wa mwaka mmoja.Salamba alisajiliwa na Simba msimu uliopita kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Lipuli FC ya Iringa kwa dau la Sh mil 30 na gari.Awali iliripotiwa kuwa, Salamba angejiunga na Klabu ya Polokwane City ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Afrika...

OKWI AGOMEA MKATABA SIMBA

0

EMMANUEL Okwi amezidi kuwatia kiwewe Simba kwanza kutokana na kiwango anachokionyesha kwenye michuano ya Kombe la Afrika ‘Afcon’ kule Misri pili ni kuwa anazingua kusaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi.Okwi, raia wa Uganda, amefanikiwa kuibuka mchezaji bora wa mechi kwenye Afcon katika mchezo wa kwanza dhidi ya DR Congo ambapo yeye alifunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-0...

MTUPIAJI MWINGINE TENA ANASWA KMC

0

VITALIS Mayanga leo amejiunga na KMC kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea klabu ya Ndanda. Mayanga akiwa ndani ya Ndanda msimu wa 2018/19 alitupia jumla ya mabao 10 anaungana na Salim Aiyee ambaye msimu uliopita alitupia mabao 18, amesaini kandarasi ya miaka miwili.Akizungumza na Saleh Jembe, Mayanga amesema kuwa ni muda wake kupata changamoto mpya shemu nyingine.