SIMBA WASAJILI MSHAMBULIAJI MBRAZIL, KUWAONGEZEA NGUVU KAGERE, BOCCO

0

Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wameongeza nguvu katika safu yao ya ushambulizi baada ya kumsajili, Wilker Henrique da Silva kutoka nchini Brazil.Wilker amejiunga na mabingwa hao akitokea nchini Brazil.Uongozi wa Simba umesema umesaini mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji huyo.Maana yake Mbrazil huyo anaungana na John Bocco, Meddy Kagere na wengine kuimarisha safu ya ushambulizi ya mabingwa hao.Simba imepania...

HAKIKA SIMBA WAMEAMUA, SABA WA KIGENI KUPIGWA CHINI NA WAPYA KUSAJILIWA

0

Klabu ya Simba imepanga kuwatema wachezaji saba wa kigeni ndani ya klabu hiyo, imeelezwa.Wachezaji wanaotajwa ni kiungo Haruna Niyonzima, James Kotea raia wa Ghana, Juuko Murshid na Emmanuel Okwi wa Uganda.Ikumbukwe kuwa wachezaji hao wote mikataba na klabu ya Simba imeisha hivyo wako huru kwenda popote pale kuanzia sasa.Taarifa imeeleza wengine ambao panga la Aussems linawapitia ni Nicholas Gyan...

HAJI MANARA AWAONEA WIVU YANGA

0

IMEBAINIKA kuwa Simba walikuwa wanawaonea wivu Yanga baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja maeneo ya Kigamboni jijini Dar.Makonda alitoa ahadi hiyo katika hafla ya Kubwa Kuliko ambapo Yanga iliendesha harambee ya kuichangia klabu yao.Wivu huo wa Simba umebainika jana Alhamisi baada ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara...

KUSAJILI WAPYA SAWA, LAKINI KWA JAMES KOTEI MTAKOSEA

0

Na Saleh AllyMABINGWA wa soka Tanzania, Simbawamemchukua mmoja wa viungo bora kabisabarani Afrika, huyu ni Sharaf Eldin Shiboub AliAbdalrahman kutoka nchini Sudan.Sharaf ni raia wa Sudan ambaye alikuwaakiichezea Al Hilal, moja ya timu kubwa naklabu kongwe barani Afrika.Nilipata nafasi ya kukutana na Sharaf akiwakambini, nakumbuka walikuwa wanajiandaa namechi dhidi ya watani wao El Merreikh pale jijiniKhartoum.Nilikwenda hadi pale kwenye...

ACHENI KULALAMIKA, UNACHOPATA SASA NI KILE ULICHOPANDA 2018/19

0

NA SALEH ALLYUSAJILI umekuwa ukipamba moto kwa kilaklabu kwa sasa. Kila upande unataka kujiwekavizuri kwa ajili ya msimu ujao.Hili si zoezi geni kutokea katika mchezo wasoka kwa kuwa kila baada ya msimu kwisha,taratibu za kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujaoHuanza.Wakati usajili unaendelea, unaona namnaambacho kinafanyika, wachezaji wengi kutokanje wameendelea kuwa gumzo na lazimawanafaidika sana.Naweza kusema wachezaji hao wanafaidikakwa kiasi...

CAF YAMRUHUSU KESSY KUIVAA SENEGAL JUMAPILI

0

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemruhusu beki wa timu ya soka ya taifa Taifa Stars, Hassan Kessy,kucheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Senegal, utakaofanyika Juni 23,katika  Uwanja wa 30 June Cairo nchini Misri.Maamuzi hayo ya CAF ya kumruhusu Kessy kucheza mchezo dhidi ya Senegal ni baada ya kujiridhisha,kuwa kadi mbili za njano, ambazo zilikuwa awali zinasemekana zingemfanya asicheze mchezo...

Wanyama; ‘Wanasema Kenya na Tanzania ndio underdogs!, tumebadilika

0

NAHODHA wa Kenya, Victor Wanyama amewaonya wale wote wanaozibeza Harambee Stars na timu ya Taifa ya Tanzania katika kundi la Tatu la michuano ya CAN inayotaraji kuanza kutimua vumbi lake usiku wa Leo kwa wenyeji Misri kuwavaa Zimbabwe katika mchezo wa Kundi la Kwanza.Kenya itacheza na Algeria usiku wa Jumapili hii, ikiwa ni muda mfupi baada ya...

TAIFA STARS MUDA WA KUTUSUA NI SASA FANYENI KWELI

0

MWENDO wa hesabu kali Kwa sasa ukizingatia kwamba tumekwama kwa muda wa miaka 39 tukishuhudia wengine wakionyesha maajabu yao kwenye michuano mikubwa ya Afcon sasa nasi tumepenya kwenye tundu la sindano. Nafasi hii adimu inapaswa itumiwe kwa unyenyekevu wa kipekee hasa kwa wale ambao wamepewa dhamana ya kupeperusha Bendera ya Taifa letu kubwa Tanzania. Wachezaji ambao wamechaguliwa ni kazi yao kutimiza...

WACHEZAJI SIMBA WAGOMA KISA MPUNGA

0

Baada ya kikosi cha Simba (U20) kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara, imeelezwa kuwa wachezaji wa timu hiyo wamevunja kambi.Kikosi cha vijana cha Simba kimevunja kambi kufuatia kutolipwa fedha zao za mahahara kwa muda wa miezi sita.Taarifa imesema kuwa wachezaj takribani wote wa kikosi hicho wameondoka kuelekea makwao ikiwa ni kigezo cha wao...

ZAHERA ABADILI UPEPO YANGA

0

BOSI wa benchi la ufundi la Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amewasisitiza viongozi wa timu hiyo kuwapa mikataba mipya kwa haraka wachezaji waliomo kikosini humo ambao wamemaliza na wapo kwenye malengo yake.Yanga hadi sasa tayari wameshawasajili wachezaji wa timu za nje ambao ni Sadney Urithob, Issa Bigirimana, Patrick Sibomana, Maybin Kalengo, Juma Balinya, Lamine Moro, Selemani Mustapha...