KIPA STARS ATAMBA KUWAZUIA WASHAMBULIAJI WA KENYA

0

JUMA Kaseja ametamba kuwazuia washambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya kwenye mechi ya kufuzu michuano ya CHAN itakayopigwa kesho, Julai 28 Uwanja wa Taifa, Dar.Kaseja mara ya mwisho kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ilikuwa mwaka 2013, amesema  anaamini anaweza kufanya mambo makubwa.“Kwa sasa nina majukumu na timu ya taifa na jukumu lenyewe ni kuhakikisha...

KOCHA YANGA AMTAJA MLINDA MLANGO ATAKAYEANZA LANGONI

0

KOCHA wa makipa ndani ya Yanga, Peter Manyika amesema kuwa magolikipa wake wote wapo vizuri kwa ajili ya msimu ujao.Manyika kwa sasa ana makipa watatu ambao ni pamoja na Farouk Shikalo, Ramadhan Kabwili na Klaus Kindoki ambao wote wanapambania kuwa namba moja.Manyika amesema kuwa :"Kila mmoja anapambana kwa uwezo wake na kwa programu ambayo nimewapa nina imani wote watakuwa...

KOCHA STARS: MAJEMBE YA KAZI YAPO SAWA, AWAPA TANO NYOTA WA SIMBA

0

KESHO timu ya Taifa ya Tanzania 'Tiafa Stars' itakuwa kazini kumenyana na timu ya Kenya na tayari kambi imenoga na leo ni siku ya maoezi ya mwisho kabla ya mchezo kuchezwa.Kuungana kwa wachezaji wa Simba ambao walikuwa nchini Afrika Kusini kumeongeza nguvu ndani ya kikosi hicho.Kaimu kocha mkuu wa Stars, Ettiene Ndayiragije amesema: “Wachezaji hawa wa Simba wako vizuri,...

SPURS WAMTAKA NYOTA WA JUVENTUS

0

PAULO Dyabala mshambuliaji wa Juventus amewekewa kwenye hesabu na klabu ya Totthenham ambayo inataka kuipata saini ya nyota huyo raia wa Argentina.Juventus ipo tayari kumuachia nyota huyo na inahitaji dau la pauni milioni 80 ili waongeze nguvu kwenye kikosi chao.Inaelezwa kuwa baada ya Juventus kumsajili Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid nyota huyo alianza kuomba kusepa ndani ya kikosi hicho.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

KABLA LIGI KUU BARA HAIJAANZA, RATIBA YA LIGI KUU BARA KUFANYIWA MABADILIKO

0

WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu ujao ikafanyiwa marekebisho.Kidao amesema kuwa mabadiliko hayo yanatokana na muingiliano wa mechi za kitaifa ambazo zitashirikisha timu nne msimu ujao."Haikuwa hesabu zetu kufanya hivi na hii inatokana na matarajio yetu ya timu ya Simba kuanza hatua ya...

NAHODHA MPYA WA YANGA HUYU HAPA, ARITHI KITAMBAA CHA AJIBU

0

PAPPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amekabidhiwa kitambaa cha unahodha ndani ya kikosi hicho kilichoweka kambi mkoani Morogoro.Kiungo huyo amekabidhiwa kitambaa hicho ambacho kilikuwa mikononi mwa Ibrahim Ajib ambaye amejiunga na Simba ambaye aliuchukua mikononi mwa Kelvin Yondani.Kambi ya Yanga imeanza Julai 7 na bado inaendelea na kambi hiyo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao na michuano ya kimataifa.Mratibu...

MASHABIKI WAITWA UWANJA WA TAIFA AGOSTI 28 KUIPA SAPOTI TIMU YA TAIFA

0

CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa ni wakati wa mashabiki kujitokeza kwa wingi Agosti 28 kuipa sapoti timu ya Taifa.Taifa Stars itamenyana na Kenya Agosti 28 uwanja wa Taifa mchezo wa kufuzu michuano ya Chan uwanja wa Taifa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ndimbo amesema kuwa ni wakati wa Taifa kuungana kuipa sapoti timu ya...

YONDAN ANA BALAA, KAMBI YA SIMBA YAZIDI KUNOGA NI KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0

KESHO CHAMPIONI Jumamosi limesheheni habari kamili kuhusu kambi ya Yanga, Maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzania bila kusahau kambi ya Simba

MATOLA: AKIPATIKANA MDHAMINI MKUU, MSIMU UJAO UTANOGA

0

SELEMAN Matola Kocha wa Polisi Tanzania amesema kuwa msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa endapo atapatikana mdhamini mkuu.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa kwa sasa mambo bado hayajakaa sawa kutokana na kutopatikana mdhamini  mkuu."Bado kwa sasa mambo hayajakaa sawa, endapo mdhamini mkuu atapatikana itasaidia kuleta ushindani na kila mmoja ataona namna ligi itakavyokuwa bora hivyo itapendeza kama mdhamnini...