KISA NABI KUMPONDA MWAMUZI MECHI YA SIMBA SC vs YANGA …AHMED ALLY AMTAKA SHEIKH KISHK AWE REFA…..
Baada ya Kocha wa Yanga kupokea kichapo Dabi ya Kariakoo na kuwashushia lawama waamuzi wa mchezo. Hii leo Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC ametoa neno kwa kauli ya kocha huyo wa Yanga. Akizungumza Ahmed Ally amesema "Kocha wao amesema mechi ijayo achezeshe Refa mwenye hofu ya Mungu, Sawa hakuna shida atachezesh Sheikh Nurudin Kishk" alitamba Ahmed Itakumbukwa kuwa siku ya...
ALLY SALIM AWEKA REKODI HII MPYA KWA SIMBA SC…SI MANULA WALA KAKOLANYA WANGEWEZA…
Malinda Lango chaguo la Tatu Simba SC Ally Salim ameweka Rekodi ndani ya kikosi cha klabu hiyo baada ya kufanikiwa kucheza dabi yake ya kwanza akionyesha kiwango cha juu katika kuzuia mashambulizi ya Washambuliaji wa Yanga wakiongozwa na Fiston Kalala Mayele. Salim ambaye aliwashtua wengi baada ya kuonekana katika kikois cha kwanza cha Simba SC kilichoikabili Yanga juzi Jumapili (April...
IFANYE SIKUKUU YAKO YA IDDI KUWA ‘BAB KUBWA’ NA MIL 650 KUTOKA MERIDINABET….ZINGATIA HAYA…
Siku zote kwenye Maisha unaambiwa usipende sana kuomba hela ya kula bali omba kazi, huwa iko hivi hata uchawa una mwisho wake kama huwezi kujishughulisha na kufanya kazi. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambe itakayokupatia hela kirahisi kwa dau dogo sana. Promosheni ya kasino ya mtandaoni inakuja na kiasi cha Tsh Milioni 650,000,000/= ambapo pesa hizi zitagawanywa...
BAADA YA KUMALIZANA NA YANGA…SIMBA WAIGEUKIA WYDAD CA KWA HASIRA KALI
Wekundu wa Mismbazi Simba SC, wamerejea kambini leo saa tatu asubuhi kuanza kambi kwa ajili ya kuwawinda Wydad Casablanca kutoka nchini Morocco. Simba walipewa mapumziko ya siku moja mara baada ya kutoka kwenye mechi ya dabi dhidi ya Yanga SC na kuibuka na ushindi wa 2-0. Akizungumza na wanahabari leo Apili 18, 2023, Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally alisema, nyota...
KISA KUNYUKWA NA SIMBA…MUSONDA ASHINDWA KUAMKA…AMEFUNGUKA HAYA
Mshambuliaji wa Yanga SC, Kennedy Musonda amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kipigo cha bao 2-0 kutoka kwa watani zao wa Jadi, Simba Sc uliopigwa juzi Aprili 16, 2023 katik dimba la Mkapa. Musonda ambaye ni raia wa Zambia amewashukuru pia mashabiki wa klabu hiyo kwa kuendelea kuwasapoti huku akiahidi kuwa watarejea kwa nguvu na ari zaidi ili...
KIBU DENIS AVUNJA REKODI HII YA KICHUYA…KATIKA MECHI YA SIMBA NA YANGA
Wakati Simba SC wakiiadhibu Yanga katika Uwanja wa Mkapa. Jumapili iliyopita mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis aliweka rekodi kadhaa katika mchezo huo wa Watani. Kibu Denis ndiye mchezaji wa kwanza mzawa kuifungia bao Simba Sports Club katika mchezo wa kariakoo derby katika ligi tangu Shiza Kichuya October 28 mwaka 2017. Amefikisha mabao 10 Katika Nbc Premier...
MANE ATUPIWA VILAGO BAYERN…DUUH!! APIGWA FAINI HII…KISA KITASA ALICHOMPIGA SANE
Baada ya kumtoza faini ya €300K (Tshs. Milioni 772) kwa kitendo cha kumpiga Leroy Sane, Klabu ya Fc Bayern Munich wanafikiria kumuuza Sadio Mane ifikapo mwishoni mwa msimu. Sababu kubwa hasa ya maamuzi hayo taarifa zinasema mabosi hawakufurahishwa na kitendo cha kumshambulia Leroy Sane Juma lililopita baada ya mchezo dhidi ya Man City.
“KANOUTE ANASUMBULIWA NA NYONGA…SIMBA WASHINDWA KUVUMILIA WAFUNGUKA HAYA
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameeleza kilichomfanya nyota wao Sadio Kanoute akosekane kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Yanga SC pamoja na mechi nyingine zilizotangulia zikiwemo mbili dhidi ya Ihefu FC. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 18, 2023, Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, alisema, Kanoute alipata majeraha ya nyonga hivyo ataingia kambini leo na kisha kufanyiwa...
ULE MGOLI WA INONGA UMEANDIKA REKODI HII…UMEVUNJA REKODI YA OKWI
BAO la kwanza lililofungwa jana na beki wa kati Henock Inonga, limeingia kwenye rekodi ya mabao ya haraka kufungwa kwenye Kariakoo Derby, akifuata nyayo za Emmanuel Okwi aliyefanya hivyo mwaka 2012. Simba na Yanga zilivaana jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam katika pambano la 110 la Ligi Kuu Bara tangu mwaka 1965 na Wekundu kuibuka na...
KISA AZAM TV KOCHA LIGI KUU AFUNGIWA…APIGWA FAINI…ISHU NZIMA IKO HIVI
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza faini ya shilingi milioni 1 Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting FC, Renatus Shija kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano na mtangazaji Azam TV, televisheni ya mdhamini mwenye haki ya matangazo ya televisheni. Shija alikataa kufanya mahojiano hayo baada ya mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons FC ambapo Wazee wa Mpapaso (Ruvu Shooting) walipoteza...