KIPIGO HAKITIKISI JESHI LA YANGA, WATOA TAHADHARI KWA WAPINZANI
BAADA ya kupoteza mchezo dhidi ya Dodoma Jiji FC, uongozi wa Yanga SC umeweka wazi kuwa matokeo hayo hayajawaondolea morali ya kuendelea…
Browse all posts in this category.
BAADA ya kupoteza mchezo dhidi ya Dodoma Jiji FC, uongozi wa Yanga SC umeweka wazi kuwa matokeo hayo hayajawaondolea morali ya kuendelea…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kwa sasa nguvu, akili na mipango yote ya klabu…
DODOMA Jiji FC wamezidi kuchanganya mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuonesha kiwango…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameweka wazi kuwa siri ya uimara wa timu hiyo haipo…
Mbio za ubingwa zinazidi kunoga huku timu kadhaa zikishuka uwanjani siku ya leo kusaka ushindi. City, Sevill, PSG na wengine wengi kuoneshana…
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, leo anaingia uwanjani ugenini kupambana na Dodoma Jiji, katika mechi yenye hesabu kali. Katika…
BEKI wa kimataifa wa Cameroon, Che Malone Fondoh, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa Kigeni wa Ligi Kuu ya Algeria ‘Algerian Ligue 1’…
“Ndoto iko karibu kutimia. Tuinue vichwa kwa imani, bado kuna hatua moja ya mwisho! Asanteni wote kwa sapoti kubwa usiku wa leo!”…
KATIKATI ya mitaa ya Manzese Tiptop, eneo la Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, kuna ukumbi mdogo unaobeba ndoto kubwa za vijana…
WAKATI ushindani wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukiendelea kupamba moto, benchi la ufundi la Simba SC limefafanua sababu za kutokwenda mapema Kigoma…
WAKATI presha ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Dodoma Jiji FC ikiendelea kupanda, kambi ya Yanga SC imepokea taarifa…