Trending Stories
View All
YANGA WATAJA SIKU YA KUREJEA ZAHERA BONGO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa, Kocha Mkuu Mwinyi Zahera anatarajiwa kujiunga na timu muda wowote kambini Morogoro, kuanzia sasa.Mratibu wa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbel Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
LIVERPOOL: TUNAJIPANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO
JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa msimu ujao utakuwa mgumu kwa timu zote kutokana kila mmoja kujipanga.Klopp amesema kuwa…
KMC YACHEKELEA KUTUPWA RWANDA KIMATAIFA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa ushiriki wao wa michuano ya Kagame umewajenga hivyo wamepata uzoefu wa kutosha kwenye michuano ya…
MANCHESTER CITY: HATUJAPATA OFA YA BAYERN MUNICH KUMTAKA SANE
PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amesema kuwa hajapata ofa yoyote kutoka kwa Bayern Munich ikimhitaji mchezaji wao Leroy Sane.Munich…
YANGA: TUPO VIZURI KWA MSIMU UJAO
HAFIDH Saleh mratibu wa Yanga amesema kuwa maandalizi yanaendelea vizuri mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao.Yanga imeweka kambi mkoani…
UNAAMBIWA KAMBI YA MORO NI NOMA, SIMBA AFRIKA KUSINI KUMENOGA, KESHO JUMATANO
KESHO Championi Jumatano lina habari zote kuhusu kambi ya Yanga Moro na ile ya Simba Afrika Kusini, makala na uchambuzi…
BWALYA ALIYEKUWA ANAWINDWA NA MNYAMA ASAINI EL GOUNA YA MISRI
NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya amejiunga na timu ya El Gouna FC ya nchini Misri.Bwalya alikuwa anatajwa…
KAZI KUBWA YA MBELGIJI WA SIMBA IPO HAPA
KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kina kazi kubwa ya kufanya kutimiza malengo yake kitaifa…
NYOTA STARS APELEKWA MUHIMBILI
MUDATHIR Yahaya nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars’ amepelekwa hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya…
SIMBA DAY SASA NI AGOSTI 6, KUCHEZA NA MABINGWA WA ZAMBIA
MABINGWA mara sita wa Ligi Kuu ya Zambia na washindi wa Kombe la Washindi Afrika mwaka 1991 Klabu ya Super…
YANGA YAENDELEA KUSHINDA MECHI ZAKE ZA KIRAFIKI, YATANDIKA MTU 7-0
Yanga imeendelea kushinda mfululizo mechi zake za kurafiki kwa kuitwanga Moro Athletic Academy kwa mabao 7-0. Yanga ipo kambini Morogoro…
BOCCO ALIAMSHA AFRIKA KUSINI, MBRAZILI NAYE AANZA KAZI SIMBA IKIMPIGA MTU 4-0
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amedhihirisha makali yake leo ambapo amefunga mabao 2 kwenye ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya…
MENEJA WA JUVENTUS AITAKA SAINI YA BEKI WA SPURS
Maurizio Sarri meneja wa Juventus ameutaka uongozi ufanye jitihada za kuipata saini ya beki wa Totthenham Danny Rose.Bosi huyo mpya…
MGOGORO WA ZIDANE NA BALE KUSHUSHA THAMANI YA MCHEZAJI
MGOGORO unaoendelea kati ya Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane na mchezaji wake Gareth Bale umeelezwa kuwa unaidumisha thamani ya…
WAARABU WA MISRI WAPIDUA MEZA KIBABE MBELE YA SIMBA KWA NYOTA HUYU
KLABU ya Al Ahly ambao ni waarabu wa Misri, imepindua meza kibabe mbele ya Simba baada ya kuweka dau la…