Trending Stories
View All
KOCHA STARS: UWEZO WA WACHEZAJI UNAONGEZEKA KILA SIKU
KAIMU Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Ettiene Ndayiragije amesema kuwa uwezo wa wachezaji unaongezeka kila siku…
REKODI YA GARETH BALE NDANI YA MADRID TAMU KINOMA
REKODI ya Gareth Bale akiwa ndani ya Real Madrid inavutia, amecheza jumla ya mechi 231 na kupachika mabao 102 huku…
KMC: TUPO TAYARI KUPAMBANA KIMATAIFA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa hauna mashaka na kikosi walichopangiwa nacho kucheza nao kwenye michuano ya kimataifa kwani wana uwezo…
DAVID DE GEA ANUKIA KUWA NAHODHA WA UNITED
David De Gea anaweza kuwa nahodha wa Manchester United kutokana na moja ya kipengele kilichopo kwenye mkataba wake mpya anaotaka…
YANGA: MSIMU UJAO MAMBO NI MOTO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa maandalizi ya timu yanazidi kupamba moto kwa ajili ya msimu ujao.Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro…
NYOTA SABA WA SIMBA KUCHOMOKA LEO KAMBINI
NYOTA saba wa timu ya Simba wanatarajiwa kujiunga leo na timu ya Taifa kwa ajili ya kujaanda na michuano ya…
AZAM FC WASAHAU HABARI ZA KUPOTEZA KOMBE LA KAGAME HESABU ZAO ZIPO HUKU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa. Azam FC imerejea…
KOCHA STARS: UWEZO WANGU UTAZUNGUMZA UWANJANI
KOCHA msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania,’Taifa Stars’ Seleman Matola amesema kuwa anastahili kuwa Kocha wa timu ya Taifa…
CAF YATIBUA PROGRAMU YA SIMBA AFRIKA KUSINI
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kutokana na ratiba ya michuano ya Ligi ya Mabingwa kutoka ni lazima…
NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO
RUUD Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi ametembelea hifadhi za…
MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI
MABINGWA wa Ligi Visiwani Zanzibar, KMKM nao wana kibarua cha kukwea pipa kimataifa. KMKM wataanzia nyumbani dhidi ya Deportivo do…
YANGA KIMATAIFA SAFARI YAO IMEKAA NAMNA HII
SAFARI ya Yanga kimataifa baada ya kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita wataanza na timu…
SABABU YA AZAM FC KUKOSA UBINGWA WA KAGAME HII HAPA
BRUCE Kangwa, beki wa timu ya Azam FC amesema kuwa kilichowaponza kushindwa kutetea kombe la Kagame ni kushindwa kutumia nafasi…
SAFARI YA MABINGWA WA TPL SIMBA KIMATAIFA INAKWENDA NAMNA HII
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa msimu ujao wa 2019/20.Mabingwa wa Tanzania…
SABABU YA KCCA KUNYAKUA UBINGWA WA KAGAME MIKONONI MWA AZAM FC YATAJWA
ALLAN Okello, mshambuliaji wa timu ya KCCA ya Uganda amesema kuwa kilichowapa ubingwa wa kombe la Kagame ni kucheza wakiwa…
DU! MUSONYE WA CECAFA NI PASUA KICHWA KWELI KUSUSU SIMBA NA YANGA
NICHOLAUS Musonye, Katibu Mkuu wa CECAFA amesema kuwa Simba na Yanga hata kama wangeshiriki wasingepata kitu.Michuano ya Kagame imemalizika jana…