Home Blog Page 2765
NA SALEH ALLYKATI ya timu za Tanzania zinazokwenda katika michuano ya Kombe la Kagame ni Azam FC ambao ni mabingwa watetezi pamoja na KMC ya Kinondoni jijini Dar.Michuano hiyo itashirikisha timu za mataifa mbalimbali kama DR Congo, wenyeji Rwanda...
IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ambaye pia ni nahodha, Mbwana Samatta amekuwa dhahabu kwa timu za Ligi Kuu England zikiitaka saini yake.Mpaka sasa tayari imeelezwa kuna ofa tatu mkononi mwake kwa timu kubwa...
KOCHA wa timu ya Taifa, Emmanuel Ammunke amesema kuwa walichokipata kwenye michuano ya Afcon Misri ni uzoefu hivyo watafanya vema wakati mwingine.Tanzania ilishindwa kutinga hatua ya 16 bora baada ya kupoteza michezo yote mitatu hali iliyowafanya warejee nyumbani bila...
LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai kwamba kwa sasa muimbaji wa Injili Bongo, Rose Muhando ameharibu tena nchini humo kutokana na kutapeli baada ya kupewa...
BAADA ya kujiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga, aliyekuwa nahodha wa Yanga amewashukuru mashabiki na viongozi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu:-"Hakika ilikuwa miaka miwili bora sana kwangu, ndani na nje ya uwanja, Yanga...
NYOTA wa kikosi cha Alliance , Dickson Ambundo amejiunga na klabu ya Gormahia ya Kenya kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Ambundo amejiunga na klabu hiyo kwa mkopo baada ya kumaliza mkataba wake na klabu yake ya Alliance. Kwa msimu wa 2019-20...
KIKOSI cha Simba ambacho kinaendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20 mpaka sasa tayari wamemalizana na wachezaji wa kigeni tisa kutoka mataifa tofauti.Wachezaji hao watatu ni kutoka  Brazili huku wengine wakiwa wanatoka ndani ya bara la...
Beki wa klabu ya Yanga, Gadiel Michael amesema yupo tayari kusaini Yanga mkataba mpya iwapo tu klabu hiyo itafikia dau na masharti ambayo amewapa, imeelezwa.Taarifa imeeleza kuwa Gadiel amedai mpira ndiyo kazi yake hivyo amewapa mapendekezo viongozi wa klabu...
Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesikia taarifa za beki wake wa pembeni, Gadiel Michael kugomea kusaini mkataba akasonya na kuwaambia viongozi; “Mnambembeleza wa nini?”Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu mmoja wa viongozi wa Yanga kusafiri na mkataba...
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mganda, Hamis Kiiza ameusifu usajili mpya wa mshambuliaji, Juma Balinya aliyetokea Polisi ya Uganda.Kauli hiyo ameitoa hivi karibuni mara baada ya kupata taarifa za usajili wa Balinya aliyesaini mkataba wa miaka miwili ya kukipiga...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS