Home Blog Page 2779
TARAJIA kuiona Yanga bab kubwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, ni baada ya jana jioni bosi mpya wa usajili kupanda ndege na kwenda nchini Misri kwa ajili ya kukamilisha usajili wa wachezaji wanne wa Timu ya taifa,...
NYOTA wa Mwadui FC, Salim Aiyee amejiunga na kikosi cha KMC kwa kandarasi ya miaka miwili.Aiyee amefanya vema msimu wa mwaka 2018/19 ambapo amefunga jumla ya mabao 18 ndani ya Ligi Kuu.Awali alikuwa akihusishwa kujiunga na timu ya Yanga...
IMEELEZWA kuwa baada ya kiungo bora ndani ya Simba,James Kotei kutimkia ndani ya kikosi cha Kaizer Chief kwa kandarasi ya miaka mitatu sasa nyota wengine watatu wanatimka ndani ya kikosi hicho.Habari za ndani zimeeleza kuwa tayari kuna timu kutoka...
Ramadhani Singano ‘Messi’ kwa sasa ana ofa kutoka timu tano tofauti ambazo zinaitaka saini yake ili aweze kuzitumikia kwa sasa.Messi ni mchezaji huru baada ya kutemwa na Azam FC hali iliyotoa nafasi kwa timu hizo ambazo zinahitaji saini yake...
Kikosi cha Taifa Stars kimpoteza tena mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika awamu hii dhidi ya Kenya kwa kuchapwa mabao 3-2.Kipigo hiki kimekuwa cha pili baada ya mechi ya kwanza kufungwa mabao 2-0 na Senegal.Mabao ya Kenya yamefungwa...
Simon Msuva, Sai kama wanavyomuita uwanjani ameingia katika rekodi muhimu katika mchezo unaoendelea muda huu. Tarehe 27/06/2019 saa 5:06 (Dakika sita ya mchezo)  alifunga bao lake la Kwanza katika michuano hii kwa Tanzania baada ya miaka 39....
Imeelezwa kuwa beki wa klabu ya Simba, Zana Coulibaly yupo katika mazungumzo ya mwisho ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu ya Simba.Taarifa imesema kuwa Zana anaweza akasaini mkataba wa miaka miwili tayari kuendelea kuhudumu mpaka mwaka 2021.Coulibaly...
Aliyekuwa Golikipa wa Yanga na ambaye kwa sasa amesaini katika klabu ya Simba Beno Kakolanya amefunguka usajili wake Simba SC na kilichofanya amesaini katika klanbu hiyo.Beno amesema kuwa Simba ni klabu Kubwa pia ina kikosi kizuri na ni timu...
Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amewaaga mashabiki wa klabu ya Simba kwa muda wote waliokuwa nae akiwa na timu hiyo na sasa anaelekea klabu nyingine.Taarifa zinadai uongozi wa Simba umegoma kumuongezea mktaba mchezaji huyo baada ya kushindwa kufikia makubaliano kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS