Home Blog Page 2811
Kikosi cha timu ya Taifa kimeweka kambi yake ndhini Misri, katika wachezaji 32 waliosafiri na timu iltakiwa wabaki wachezaji 23 tu kwaajili ya mipango ya AFCON.Kandanda imepata orodha ya wachezaji wanaobaki hawa hapa:Magolikipa1-Aishi Manula (Simba SC)2-Metacha Mnata...
Ratiba kamili ya Yanga Kubwa Kuliko Jumamosi hii, hii hapa
Usikilize wimbo mpya wa Yanga hapa
Mshambuliaji wa klabu ya Zesco United ya Zambia, Lazarous Kambole amekubaliana maslahi binafsi na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika kusini ambayo atajiunga nayo kwa ajili ya msimu ujao, imeelezwa.Taarifa imesema Kaizer Chiefs italazimika kulipa dau la dola 200,000...
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewashangaa viongozi ya klabu hiyo kwa kuanza majadiliano ya kumpa mkataba mpya nahodha wa timu hiyo Ibrahim Ajibu.Taarifa imeeleza kuwa Zahera amesema tangu Ajibu akatae kujiunga na TP Mazembe yeye alishamuondoa...
Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.#MchezajiTimuNafasi1Aishi Manula-Golikipa2Bigirimana BlaiseNamungo FCKiungo3John R. Bocco-Mshambuliaji4Mwadini Ali-GolikipaWote*Angalizo: Tutajaza tena majina...
 Kubwa Kuliko itazinduliwa rasmi Jumamosi,Ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar es Salaam na wanachama pamoja na viongozi wa Yanga lengo likiwa moja kuichangia timu.Mchakato huo kwa mara ya kwanza ulizinduliwa na Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera makao makuu ya...
MWENDO Mdundo sasa kwa timu ya Taifa ya Tanzania ambayo imeweka kambi nchini Misri kwa ajili ya kujiaanda na michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza Juni 21.Benchi la ufundi lililo chini ya Kocha Mkuu, Emmanuel Ammunike ameongezewa makocha wawili ambao...
YANNICK Carrasco kwa sasa kuna uwezekano mkubwa kuibukia kwenye kikosi cha Arsenal kilicho chini ya Unai Emery kumwaga wino.Winga huyo mwenye miaka 25 amefunga jumla ya mabao 11 kwenye mechi 31 alizocheza baada ya kujiunga na klabu ya Blue...
LIGI ya Mzumbe Vijana Cup inazidi kukata mbunga ambapo leo majira ya saa 10:00 uwanja wa Sekondari Tegeta itaipigwa bonge moja ya mechi.Ligi hiyo  kwa sasa ipo hatua ya 16 bora na kila timu imepania kuibuka na ushindi ili...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS