Trending Stories
View All
MANCHESTER UNITED: ERICK BAILLY ATAREJEA KWENYE UBORA WAKE
MENEJA wa Manchester United amesema kuwa ana imani na mchezaji wake Erick Bailly atarejea kwenye ubora wake licha ya kupata…
KOCHA STARS: TUPO TAYARI KUPAMBANA NA KENYA
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa imani ni kubwa kwa timu ya Taifa…
DILI LIKIKAMILIKA LUKAKU KUSEPA UNITED MAZIMA
ROMELU Lukaku Muda mchache mara baada ya Manchester United kurejea England ikitokea ziarani barani Asia amekwea pipa kuelekea nchini Ubelgiji.Habari…
SERIKALI YARUHUSU WACHEZAJI KUMI WA KIGENI KUSAJILIWA BONGO, MASHARTI YAKE SI MCHEZO
HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amesema kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji wa kigeni kusajiliwa kumi…
BREAKING: BOCCO ATEULIWA KUWA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ndayiragije Etienne amemteua Mshambuliaji John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji…
KOCHA YANGA ATAJA SIKU YA KURUDI BONGO
MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameskia juu ya suala la wachezaji wake kugoma kujiunga na kambi kwa…
WAGENI 100 WAIGOMBANIA NAFASI YA AMMUNIKE, WAZAWA WAICHUNIA
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa mpaka sasa tayari wamepokea maombi ya makocha 100…
CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL
DANI Ceballos mchezaji mpya wa kikosi cha Arsenal ambaye amejiunga kwa mkopo akitokea Real Madrd amesema kuwa ni wakati wake kuonyesha…
NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU
MARCEL Kaheza mshambuliaji wa kikosi cha Smba huenda msimu ujao akaibukia kikosi cha Polisi Tanzania.Kaheza amerejea kutoka Kenya baada ya…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
YANGA: TUNASHUSHA MUZIKI MNENE KUWAMALIZA WAKALI WA EVERTON
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa klabu ya Kariobangi Sharks sio nyepesi kwani iliwanyoosha Eveton kutoka England.Deo Muta, Katibu wa Kamati…
LEWANDOWSKI ANAKIMBIZIA REKODI TU
ROBERT Lewandowski nyota wa timu ya Bayern Munich ni miongoni mwa washambuiaji bora kutokea kwenye Ligi Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’.…
DUH MESSI CHAPA NYINGINE AMFUNIKA CR 7, NEYMAR KWA MKWANJA
LIONEL Messi mshambuliaji wa Barcelona inayoshiriki La Liga yeye anaongoza kwa kukunja mkwanja mrefu kuliko wengine wanaopiga soka kwa sasa.Kwa…
WAFANYAKAZI WAPUNGUZIWA MSHAHARA KUMJAZIA CR 7
CRISTIANO Ronaldo nyota anayekipiga Juventus ambao ni mabingwa wa Serie A ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea.Alikuwa…
LAURENT APANGA KUISHTAKI ARSENAL
LAURENT Koscienly anapanga kuuchukulia hatua za kisheria uongozi wa Arsenal kutokana na kupewa ofa ndogo ya mshahara.Koscienly aligoma kwenda kwenye…