NYOTA SABA WA SIMBA KUCHOMOKA LEO KAMBINI

0
NYOTA saba wa timu ya Simba wanatarajiwa kujiunga leo na timu ya Taifa kwa ajili ya kujaanda na michuano ya Chan wakitokea Afrika Kusini.Akizungumza...

AZAM FC WASAHAU HABARI ZA KUPOTEZA KOMBE LA KAGAME HESABU ZAO ZIPO HUKU

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.Azam FC imerejea nchini baada ya kushindwa kutetea...

KOCHA STARS: UWEZO WANGU UTAZUNGUMZA UWANJANI

0
KOCHA msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania,'Taifa Stars' Seleman Matola amesema kuwa anastahili kuwa Kocha wa timu ya Taifa Kwa kuwa anauwezo mkubwa.Matola...

CAF YATIBUA PROGRAMU YA SIMBA AFRIKA KUSINI

0
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kutokana na ratiba ya michuano ya Ligi ya Mabingwa kutoka ni lazima afanye mabdiliko kwenye ratiba...

NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO

0
RUUD Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi ametembelea hifadhi za mali asili ya Tanzania.Kupitia...

MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI

0
MABINGWA wa Ligi Visiwani Zanzibar, KMKM nao wana kibarua cha kukwea pipa kimataifa.  KMKM wataanzia nyumbani dhidi ya Deportivo do 1 Agosto ya Angola...

YANGA KIMATAIFA SAFARI YAO IMEKAA NAMNA HII

0
SAFARI ya Yanga kimataifa baada ya kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita wataanza na  timu ya Township Rollers ya...

SABABU YA AZAM FC KUKOSA UBINGWA WA KAGAME HII HAPA

0
BRUCE Kangwa, beki wa timu ya Azam FC amesema kuwa kilichowaponza kushindwa kutetea kombe la Kagame ni kushindwa kutumia nafasi walizozipata kwa umakini.Azam FC...

SAFARI YA MABINGWA WA TPL SIMBA KIMATAIFA INAKWENDA NAMNA HII

0
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa msimu ujao wa 2019/20.Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepangwa...

SABABU YA KCCA KUNYAKUA UBINGWA WA KAGAME MIKONONI MWA AZAM FC YATAJWA

0
ALLAN Okello, mshambuliaji wa timu ya KCCA ya Uganda amesema kuwa kilichowapa ubingwa wa kombe la Kagame ni kucheza wakiwa timu.KCCA jana walitwaa ubingwa...