BALINYA APEWA DAWA YA KUIMALIZA SIMBA HARAKA
Wakati uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Juma...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MISRI YATUPWA NJE AFCON KWA KUCHAPWA BAO 1-0 NA AFRIKA KUSINI, LORCH APELEKA MSIBA
Game ya AFCON hatua ya 16 bora imekwisha na wenyeji Misri wanatupwa nje ya mashindano kwa bao 1-0 huku Afrika Kusini wakisonga mbele kwenye...
MAGORI AFUNGUKA JUU YA SUALA LA MO KUJIONDOA SIMBA
BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni hapo, Mohammed Dewji ‘Mo’...
GADIEL MICHAEL AIBUA JINGINE LA KUSHANGAZA YANGA, SIMBA WATAJWA
Inadaiwa kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael juzi jioni amesaini rasmi mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea Simba kwa ajili ya msimu ujao wa...
ZAHERA AJA NA MIKAKATI MIPYA KABAMBE YANGA, TIMU KUWEKA KAMBI MOROGORO
Wakati Yanga ikianza maandalizi ya msimu ujao kesho Jumapili, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera amekuja na mkakati mpya kuhakikisha timu hiyo haifungwi...
DUH! BARCELONA WAMFUNGIA VIOO NEYMAR JUMLAJUMLA
JOSEP Bartomeu Rais wa Barcelona amesema kuwa klabu yake haina mpango wa kujaribu kupata saini ya kumpata mchezaji Neymar JR kwani Paris Saint Germain...
FUKUTO LA MO NDANI YA SIMBA LIMEFIKIA HAPA
BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni hapo, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa mbioni...
WACHEZAJI YANGA WACHELEWESHA KUANZA KWA KAMBI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa wa kuweka kambi upo mikononi mwa wachezaji wa kigeni na ndani hivyo wakifika wote wataanza...