Trending Stories
View All
MIFUMO MITATU ITAKAYOIBEBA YANGA,GOMES ASHUSHA MBADALA WA CHAMA,NI CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
BAADA YA KUTEMWA..SHIKALO AFUNGUKA HAYA..AWATAJA VIONGOZI WA YANGA
Saa kadhaa baada ya Uongozi wa Young Africans kutangaza hadharani kuachana na Walinda Lango wake, Faruok Shikalo ametoa neno la…
RASMI, MESSI MALI YA PSG, AKABIDHIWA JEZI NO 30
RASMI aliyekuwa nahodha wa timu ya Barcelona Lionel Messi sasa ni mali ya PSG ya Ufaransa. Nyota huyo ambaye amedumu…
BREAKING:YANGA YAMTAMBULISHA KIPA MWINGINE TENA
UONGOZI wa Yanga umemtambulisha nyota mpya leo Agosti 10,2021 ambaye ni kipa kutoka Aigel Noir. Ni Erick Johola ambaye ni…
ISHU YA LUIS NA CHAMA KUTAKIWA NA TIMU ZA NNJE, HUU HAPA MSIMAMO WA SIMBA SC
Wakati Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC ukiendelea kufanya maboresho kwenye kikosi chao, kwa kusajili wachezaji kutoka…
HIZI HAPA REKODI ZA KIPA MPYA WA YANGA
REKODI za kipa mpya wa Yanga ambaye amemalizana na timu hiyo Diarra Djigui zinatisha na kwa rekodi zake ni moja…
YANGA WAMTUPIA VIRAGO PACHA WA LUIS MIQUISSONE..NI YULE ALIYEKUJA KWA MBWEMBWE
Imeripotiwa kuwa Uongozi wa klabu ya Young Africans umempa mkono wa kwaheri Kiungo Mshambuliaji wa UD Songo, Jimmy Julio…
HERI YA KUMBUKIZI YA KULETWA DUNIANI, ERIC SHIGONGO
LEO Agosti 10, 2021 ni siku muhimu kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group LTD na Mbunge wa Buchosa, …
VIDEO: DILI LA LUIS MIQUISSONE KUIBUKIA AL AHLY LAGONGA MWAMBA
USAJILI wa nyota wa Simba raia wa Msumbiji Luis Miquissone kuelekea Al ahly ya Misri umekua unasusua baada ya kocha…
BIASHARA UNITED KUMBE NA WAO HAWATAKI MZAA..WASHUSHA MASHINE HIZI CHAP CHAP
Kiungo kutoka nchini Uganda Tayo Odongo Matthew amejiunga na klabu ya Biashara United Mara inayojiandaa kushiriki Kombe la Shirikisho ‘CAF’.…
BAADA YA KUTEMANA NA MESSI, BARCELONA WAIPELEKA PSG MAHAKAMANI
Barcelona imefungua kesi Mahakamani kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana…
NI UWONGO..ISHU YA KISINDA KWENDA MOROCCO IKO HIVI KUMBE..
Imefahamika kuwa picha inayoendelea kusambaa kwa kasi ikimuonesha kiungo mshambuliaji kutoka DR Congo na klabu ya Young Africans Tuisila Kisinda…
MESSI AKUBALI KUSAINI MIAKA MIWILI, PICHA YAKE YAONDOLEWA
LIONEL Messi amekubali kujiunga na Klabu ya Paris Saint-Germain kwa dili la miaka miwili. Mshindi huyo wa Ballon d’Or mara sita…
SIMBA YAKWEA PIPA KUIBUKIA MOROCCO
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco. Mabingwa hao wa Ligi…
VIDEO: NAMNA SIMBA WALIVYOSEPA BONGO, LUIS MIQUISSONE AKOSEKANA
KIKOSI cha Simba leo kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22. Nyota wao…
RASMI : YANGA NA SIMBA KUKUTANA MOROCCO..YANGA WAFUNGUKA HAYA
Hatimaye Uongozi wa Young Africans umethibitisha Rasmi taarifa za kikosi cha klabu hiyo kuweka kambi nchinj Morocco. Awali taarifa hizo…