Trending Stories
View All
NYOTA MWADUI FC AINGIA ANGA ZA NAMUNGO FC
DENISS Richard winga wa kikosi cha Mwadui FC anatajwa kuingia katika rada za Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu,…
KISINDA NI MCHEZAJI HALALI WA YANGA, MKWANJA WATAGAWANA NA AS MANIEMA
MENEJA wa mchezaji wa Yanga, Tuisila Kisinda anayeitwa Nestori Mutuale amesema Klabu ya RS Berkane ilituma ofa kwa Klabu ya…
KWISHA KAZI…WAMOROCCO WAFANYA KUFURU DAU LA KUMNG’OA CHAMA..SIMBA WAKUBALI KIAINA
MAFUNDI wawili wa mpira waliokuwa na chachandu za aina yake kwenye mechi ya watani wa jadi wameng’oka. Gazeti la Mwanaspoti…
YANGA: AUCHO HADI BARCELONA WALIMTAKA KUMPA MKATABA, MANARA ANAWACHANGANYA
SHABIKI mtata wa Yanga amebainisha kuwa nyota wao mpya Khalid Aucho alikuwa anahitajika na timu ya Barcelona ila GSM walimpandia…
VIDEO: KAMBI YA SIMBA MOROCCO USIPIME, YANGA YAMFICHA BEKI MOROCCO
KAMBI ya Simba Morocco usipime, Yanga yamficha beki Morocco, suala la Lionel Messi pia kuibukia PSG.
VIDEO:MCHAMBUZI WA SIMBA AANAMINI KWAMBA WATAREJEA WAKIWA BORA MSIMU UJAO
MCHAMBUZI wa mifumo ndani ya kikosi cha Simba, Culvin Mavunga amesema kuwa wanaamini kupitia pre-season wataimarika zaidi na kurejea kwenye…
UCHAGUZI UMEISHA, TUMUUNGE MKONO WALLACE KARIA
WIKIENDI hii kulikuwa na tukio kubwa kwenye tasnia ya soka, na tukio hilo ulikuwa ni uchaguzi mkuu wa Shirikisho la…
VIDEO:KAPOMBE ATAJA SABABU YA SIMBA KUFANYA VIZURI, AFUNGUKIA KAMBI YA MOROCCO
BEKI wa Klabu ya Simba, Shomari Kapombe amesema kuwa wanaamini kwamba Mungu akileta kheri msimu ujao watafanya vizuri, kuhusu kilichowafanya…
GRANIT BADO YUPOYUPO ARSENAL, ARTETA KASEMA
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa mchezaji wake Granit Xhaka ataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho. Xhaka alikuwa…
MESSI KUANZA MAISHA MAPYA PSG
STAA Lionel Messi, amekamilisha usajili wake wa miaka miwili ndani ya kikosi cha Paris Saint-Germain, (PSG) baada ya kukamlisha vipimo…
YANGA WAMEPANIA AISEE..WAPANGA KUSAJILI BEKI WA MILIONI 700, SIMBA WALIMKIMBIA
YANGA wamerudi nchini DR Congo na sasa wanataka tena kuchukua beki mwingine na sasa matajiri wa GSM wako katika…
PSG BADO WANAMPIGIA HESABU POGBA
PARIS Saint-Germain bado wanamtazama kwa ukaribu nyota wa Manchester United, Paul Pogba kwa ajili ya kukamilisha usajili wake. Kwa mujibu…
AZAM FC KAZINI LEO KAGAME CUP, AZAM COMPLEX
AZAM FC leo itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Big Bullets ya Malawi katika mchezo wa nusu fainali…
BIASHARA UNITED YAMALIZA BIASHARA NA MAJEMBE YA KAZI
BIASHARA United wanaopenda kujiita Wanajeshi wa Mpakani wameanza kazi ya kutambulisha majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.…
KMKM WAFUNGASHIWA VIRAGO KAGAME CUP
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kagame Cup 2021, KMKM safari imewakuta kwa kushindwa kutinga hatua ya fainali. Katika mchezo…
VIDEO: KOCHA SIMBA AWAFUNGUKIA WACHEZAJI WAKE WAPYA
KIKOSI cha Simba jana kilikwea pipa kuelekea Morocco kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu…