Tag: Ahmed ally
MSEMAJI WA SIMBA AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUTAJWA FIFA
Klabu ya Simba SC imeweka wazi kuwa, timu yao itajipanga vyema kuvuna alama za kutosha katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2023/24,...
TUTAKACHOMFANYA WYDAD ATAJUTA KUJA….. AHMED ALLY
Simba SC, wamesema watahakikisha wanamfunga kwa idadi kubwa ya magoli Wydad katika mechi yao ya nne ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika Desemba 19,...
AHMED ALLY ASEMA HAYA KUHUSU WYDAD SIO POA
Afisa Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, #AhmedAlly amedai kuwa ‘klabu’ ya Wydad ni mnyama mkali aliyesinzia hivyo wanatakiwa kujiandaa kukabiliana nao katika...
AHMED ALLY AWATULIZA MASHABIKI WA SIMBA
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, timu ya Simba SC, imebanwa mbavu nyumbani kwa kulazimishwa sare ya 1-1 na Asec...
AHMED ALLY AFUNGUKA HALI MBAYA WANAYOPITIA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kupitia Instagram amefunguka sare iliyopata timu hiyo 1-1 na ASEC Mimosas mechi ya kwanza Ligi...
UONGOZI SIMBA WAWAANGUKIA WACHEZAJI, ISHU IKO HIVI
Uongozi wa Simba SC umewataka Wachezaji wa Klabu hiyo kupambana na kutambua uchungu wanaoupata Mashabiki na Wanachama pale mambo yanapokwenda mrama.
Ombi hilo kwa Wachezaji...
AHMED ALLY ANAJUA KUWA YANGA IMEBADILIKA ILA MSIMAMO WA SIMBA NI...
Uongozi wa Simba SC umesema licha ya ukweli kuwa wapinzani wao Young Africans wamebadilika kiuchezaji kulinganisha na msimu uliopita, hilo haliwatishi na halitawazuia kuibuka...
SIMBA WAELEKEZA NGUVU ZAO LIGI KUU
Baada ya kuondolewa na Al Ahly ya nchini Misri katika michuano ya African Football League (AFL), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC,...
SIMBA WATAMBA, AL AHLY AMEKUJA KIPINDI KIBAYA
Klabu ya Simba imesema kuwa wapinzani wao kwenye michuano ya African Footbal League (AFL), Al Ahly wamekuja katika kipindi kibaya kwani Mnyama atawatafuna mapema...
UONGOZI WA SIMBA UMEFUNGUKA HAYA KUHUSU WACHEZAJI WAKE WALIOITWA
Kuelekea mchezo wa African Football League klabu ya Simba imesema timu hiyo itaingia kambini kesho Alhamisi Oktoba 12, 2023 kwa ajili ya kujiweka sawa...