Tag: HABAR ZA MICHEZO
GAMONDI:- “KATIKA MAISHA USIJIAMINISHE SANA…BADO TUNA GEPU KUBWA…AMEFUNGUKA HAYA
Kocha Mkuu wa Young Africans SC, Miguel Gamondi, amefunguka kwamba, suala la ubingwa kwa sasa ni mapema kuzungumzia, licha ya kwamba tuna nafasi kubwa...
KARIAKOO DABI YAWAPA SAPRAIZI HII GAMONDI NA BENCHIKHA…WABAKI MIDOMO WAZI
Unaweza kusema ni kama makocha wa timu zote mbili, Miguel Gamondi wa Yanga na Abdelhak Benchikha wa Simba wamekutana na sapraizi, baada ya kulazimika...
KUMBE PACOME ALIMLILIA GAMONDI KABLA YA DABI…BOSS YANGA AFUNGUKA ISHU NZIMA...
Kumbe Saa chache kabla ya Yanga kuanza safari ya kwenda uwanjani kiungo wa timu hiyo amewasilisha maombi kwa kocha wake ampe hata dakika 20...
KUMBE YANGA WALIFANYA HAYA KUIFUNGA SIMBA…KIBADENI ANYOOSHA MIKONO JUU
NJAA YA MAFANIKIO
Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na ndiyo mabingwa wa kihistoria wa taji hilo waliloshinda mara 29, Simba yenyewe imelichukua...
KAKOLANYA AGOMEA WITO WA KAMATI YA NIDHAMU SINGIDA BS…HAMNITTENDEI HAKI ISHU...
Siku chache baada ya Kamati ya Nidhamu ya Singida Fountaine Gate kumuandikia barua kipa wao, Beno Kakolanya kwa ajili ya kujibu tuhuma zinazomkabili za...
FIGISU ZATAWALA SOKA LA AFRIKA…TIMU YAFANYA MAZOEZI AIRPORT…YAZUILIWA KUTOKA UWANHANI
Kikosi cha timu ya RS Berkane kimelazimika kufanya mazoezi yao katika Uwanja wa Ndege nchini Algeria baada ya kuzuiliwa kutoka katika uwanja huo. Pichani...
AZIZ KI AWEKA REKODI HII LIGI KUU…AMPIGA KO HII CHAMA…TAKWIMU ZOTE...
Kuelekea Mchezo wa kesho Jumamosi, Aprili 20, 2024 wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi ya Simba, ni viungo pekee ndio wenye magoli...
RASMI FIFA YATANGAZA…KLABU IKISHIRIKI KOMBE LA DUNIA INAKULA BIL 137…TIMU HIZI...
Rasmi Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa kila klabu itakayoahiriki mashindano ya kombe la dunia kwa ngazi ya vilabu itapata...
AZAM MATATANI KUPOTEZA SILAHA YAO HII…SINGIDA BS YAHUSISHWA…ISHU NZIMA IPO HIVI
Klabu ya Singida Black Stars imefungua mazungumzo ya kumsajili mlinzi wa kulia wa Azam Nathaniel Chilambo.
Mkataba wake na Azam umebaki miezi mitatu tu.
Haitokuwa rahisi...
SHABIKI WA SIMBA AMEITWA NA POLISI…MKASA MZIMA UPO HIVI A-Z
Shabiki wa Simba SC, anayetambulika kwa jina la GB 64 ameitwa Kituo cha Kati (Central) kutoa Maelezo, huku akisema ana wasiwasi huenda akawekwa ndani...