Home Tags Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo

Tag: Habari za Michezo Bongo. Habari za Michezo leo

KOCHA TAIFA STARS APELEKEWA MAJINI…KUINGIA NAYO KAMBINI…VIMEMO VYATUMIKA KUITA STARS

0
Siku chache zilizopita Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, lilimtangaza Kocha Mpya wa Timu ya Taifa Mbeligiji mwenye asili ya Algeria Adel Amrouche. Licha...

SILAHA HATARI YA SIMBA YAREJEA…MSIMBAZI WAZIDI KUJIKOKI…HOROYA WATAKIMBIA

0
KIUNGO wa kazi ndani ya Simba, Hassan Dilunga amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akipambania afya yake. Nyota huyo...

NABI SIWAOGOPI WAARABU…KUWENI WAPOLE NIWANYOOSHE…TUMEPATA SIRI ZAO

0
Kocha wa Yanga, Profesa Nasreddine Nabi amesema Hawaogopi Monastir, japo waliwafunga kwao na wao wana uwezo wa kuwafunga hapa na wanaendelea kufanyia kazi Mipango...

HUYU HAPA MIKONO 60 WA AFRIKA…GOLIKIPA BORA WA MUDA WOTE AFRIKA…ATAJWA...

0
Golikipa BORA wa zamani wa Nigeria Vincent Enyeama (40) ametajwa kuwa Golikipa Bora wa Muda Wote wa Afrika na Shirikisho la Kimataifa la Historia...

TIKETI ZA KITONGA MECHI YA YANGA….TIKETI 1000 KUTOLEWA BURE…THAMINI UTU CHANGIA...

0
Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji ametoa tiketi 1000 za kushuhudia mchezo dhidi ya US Monastir katika mchezo utakaochezwa jumapili ya wiki...

KMC YATANGAZA VITA…MASHABIKI MGUU PANDE MGUU SAWA…TUNAZIDI KUWA IMARA

0
Uongozi wa KMC FC umesema utahakikisha michezo mitano iliyobaki katika Ligi Kuu Bara msimu huu 2022/23, timu yao inacheza kama fainali ili kufanikisha usalama...

YANGA KULITETEA TAJI LAO…TUMEWAACHA POINTI NYINGI WANAOTUFATA…TUNAPAMBANIA MATAJI YOTE

0
Pointi 8 ambazo wamewaacha watani zao wa jadi Simba, zimeipa kiburi Yanga ya kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za Ligi Kuu Bara na kutetea...

SABABU ZA FEISAL SALUM “FEI TOTO” KUITWA STARS…”YUPO FIT SANA LICHA...

0
Kocha Msaidizi wa Taifa, Hemed Morocco, ametaja sababu ya kumuita Kiungo Mshambuliaji Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' kwenye timu ya taifa kuwa ni kutokana...

MAYELE NA MUSONDA WAMPA JEURI RAISI…YANGA ITAWEKA REKODI MSIMU HUU…TIMU IPO...

0
Kiwango bora kinachoendelea kuoneshwa na Yanga katika mashindano mbalimbali msimu huu, kimemuibua Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ambaye ameweka wazi kuwa, wana matumaini...

MAYELE TUZO YA MFUNGAJI BORA IPO PALEPALE…USHINDI KWETU LAZIMA…TUNAHITAJI MAGOLI

0
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans(YANGA) Fiston Kalala Mayele, amesema kwa namna pekee itakayomfanya afanikishe malengo ya kutwaa Tuzo ya Ufungaji...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS