Tag: soka
AL AHLY ATAKUBALI KUENDELEZA UTEJA DHIDI YA SIMBA LEO AFL
Leo dunia ya soka itahamia Tanzania katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ni katika uzinduzi wa michuano mipya ya African Football League ambapo pamoja na...
MASTAA YANGA WAFUNGUKA MAGUMU HAYA WANAYOPITIA LIGI KUU
Mastaa wa Yanga wamekiri kwamba wana njia ngumu mbele yao haswa katika mechi nne mfululizo zinazofuata kwenye Ligi Kuu ya Bara.
Mechi hizo ambazo nyingi...
BOCCO ATAMBA NYUMBANI MATOKEO MAZURI UHAKIKA
Ni mchezo mkubwa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, utakuwa mchezo mzuri sana. Ni nafasi nzuri kwa klabu yetu na sisi wachezaji kuonesha kiwango...
KIEMBA AFAFNUKIA KISA CHA AL AHLY KUJA NA MAPIPA
Wakati Mashabiki wa soka nchini wakishangazwa na ujio wa Al Ahly ambao wanjiandaa kuikabili Simba siku ya Ijumaa Oktoba 20.
Mchambuzi wa Soka kutoka Clouds...
HAPO SIMBA NI FULL MZIKI, BOCCO AFUNGUKA
Nahodha wa Simba ya Dar es Salaam, John Bocco amesema kikosi chao kimejiandaa vizuri kukabiliana na Al Ahly ya Misri mchezo wa ufunguzi michuano...
YANGA WAMTISHA DUBE, HUKU NAE AJIBU HILI
Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube amesema mechi ijayo dhidi ya Yanga itakuwa ngumu, lakini Azam haitaingia kinyonge kwa kuwa wanazitaka alama tatu.
Dube ndiye...
TRY AGAIN AWAKUMBUSHA WATANZANIA JAMBO HILI MUHIMU SIMBA VS AL AHLY
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' amesema kuwa mchezo wao wa robo fainali ya African Football League...
RAIS WA YANGA KUTOKA JANGWANI MPAKA KILELE CHA KILIMANJARO
Rais wa Yanga SC, Hersi Said ni miongoni mwa viongozi waliofanikiwa kufika katika kilele cha Mlima wa Kilimanjaro, Jijini Arusha.
Rais huyo aliyeko mapumzikoni hivi...
JOB AMTULIZA MAZIMA CHE MALONE
Mwamba Dickson Job beki wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga amemtuliza mazima mwamba Che Malone kwenye kuzuia hatari katika lango hilo ndani ya...
YANGA VS AZAM SIO POA KWA HALI HII LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA
Benchi la Ufundi la Young Africans, limeanza kukiandaa kikosi chao kuhakikisha kinakuwa bora kabla va kukutana na Azam FC, katika mchezo wa Mzunguuko wa...