WEMA SEPETU AMTAJA BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO

0
SHABIKI mkubwa wa timu ya Yanga, Wema Sepetu amesema kuwa ana imani na kikosi cha Yanga kitatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao.Sepetu...

MANCHESTER UNITED: ERICK BAILLY ATAREJEA KWENYE UBORA WAKE

0
MENEJA wa Manchester United amesema kuwa ana imani na mchezaji wake Erick Bailly atarejea kwenye ubora wake licha ya kupata majeraha kwenye mchezo wa...

KOCHA STARS: TUPO TAYARI KUPAMBANA NA KENYA

0
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa imani ni kubwa kwa timu ya Taifa ya Tanzania kupata matokeo...

DILI LIKIKAMILIKA LUKAKU KUSEPA UNITED MAZIMA

0
ROMELU Lukaku Muda mchache mara baada ya Manchester United kurejea England ikitokea ziarani barani Asia amekwea pipa kuelekea nchini Ubelgiji.Habari zinaeleza kuwa Lukaku ameamua...

SERIKALI YARUHUSU WACHEZAJI KUMI WA KIGENI KUSAJILIWA BONGO, MASHARTI YAKE SI MCHEZO

0
HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amesema kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji wa kigeni kusajiliwa kumi kwa timu za ndani.Matokeo...

BREAKING: BOCCO ATEULIWA KUWA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA

0
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ndayiragije Etienne amemteua Mshambuliaji John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani,akisaidiwa na Juma...

KOCHA YANGA ATAJA SIKU YA KURUDI BONGO

0
MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameskia juu ya suala la wachezaji wake kugoma kujiunga na kambi kwa kutolipwa mshahara pamoja na...

WAGENI 100 WAIGOMBANIA NAFASI YA AMMUNIKE, WAZAWA WAICHUNIA

0
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa mpaka sasa tayari wamepokea maombi ya makocha 100 wanaotaka nafasi ya kuinoa...

CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL

0
DANI Ceballos mchezaji mpya wa kikosi cha Arsenal ambaye amejiunga kwa mkopo akitokea Real Madrd amesema kuwa ni wakati wake kuonyesha uwezo wake alionao.Ceballos amesema...

NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU

0
MARCEL Kaheza mshambuliaji wa kikosi cha Smba huenda msimu ujao akaibukia kikosi cha Polisi Tanzania.Kaheza amerejea kutoka Kenya baada ya kumaliza mkataba wake wa...