admin
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
HAPA NDIPO AMBAPO GARI LA AZAM FC LITAPAKI KUSEPA NA WACHEZAJI...
BAADA ya Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit kusema kuwa kwenye dirisha la usajili watatumia ndiga yao kupaki nje ya timu ambayo watakwenda...
YANGA WATAJA SABABU YA KUZITAKA POINTI TATU ZA MTIBWA SUGAR LEO
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa leo, Julai 22 dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa Uwanja...
KAZI IMEANZA SIMBA, NYOTA SABA KUSEPA KIKOSINI MSIMU UJAO
INAELEZWA kuwa nyota saba ndani ya Simba safari yao itakuwa imefika tamati kikosini hapo kutokana na sababu mbalimbali msimu wa 2020/21.Taarifa zinaeleza kuwa mpango...
HAWA HAPA NANE WA KIKOSI CHA KWANZA YANGA KUKOSA MTIBWA SUGAR...
LEO Yanga inatupa kete ya 37 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo watamenyana na Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro majira ya saa...
MBELGIJI WA SIMBA AFICHUA SIRI ZA CHAMA NA SHEVA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa siri kubwa ya wachezaji wake kufanya vizuri kwenye mechi zao nyingi ni kutumia akili na utulivu...
MASHINE HIZI ZA KAZI ZIMEANDALIWA NA YANGA KUIMALIZA MTIBWA SUGAR LEO
NYOTA wawili wa Yanga, Feisal Salum, 'Fei Toto’ na Mrisho Ngassa wameandaliwa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakachoezwa leo, Julai 22,...
SIMBA WATIA TIMU TANGA, ALHAMISI KUVAANA NA COASTAL UNION
KIKOSI cha Simba kimewasili salama leo Julai 21 Tanga ambapo kimekwenda kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union unaotarajiwa...
KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO
Kesho ndani ya Championi Jumatano usipange kukosa nakala yako
TAARIFA KUHUSU NAFASI YA MWENYEKITI WA YANGA KUDAIWA KUJIUZULU
Ufafanuzi kuhusu taarifa ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Yanga