Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

MBADALA WA KINDOKI HUYU HAPA, ASAINI MIAKA MIWILI JANGWANI

0
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango wa Mbao FC, Metacha Mnata amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga.Yanga kwa sasa ipo kwenye mpango wa...

LICHA YA KUPOKEA KICHAPO , KIBA AWASHURU MASHABIKI

0
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba, amesema kuwa mashabiki wake na watanzania wanastahili shukrani kwa kujitoa kwa hali na mali kufanikisha zoezi...

SAMATTA AWASHUKURU WATANZANIA KWA SAPOTI

0
BAADA ya Jana nahodha wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta kuongoza kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 6-3 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi...

LACAZETTE AIBUA MASWALI KUPITA MITAA YA BARCELONA

0
STRAIKA wa Arsenal, Alexandre Lacazette ameonekana katika mitaa ya jiji la Barcelona juzi na kuzua maneno. Baada ya kuonekana huko, ndio wadau wa soka wakadai kuwa Lacazette huenda ametua...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu

JIPYA LAIBUKA JUU YA NINJA NA YANGA

0
INAELEZWA beki wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ anatakiwa na moja kati ya timu zinazoshirikiLigi Kuu ya Zambia lakini amepatwa na kigugumzi kufuatia...

BAADA YA KUIREJESHA AZAM KIMATAIFA, CHIRWA AJISOGEZA YANGA

0
STRAIKA anayepambana kwa udi na uvumba arudishwe Yanga, Obrey Chirwa juzi Jumamosi aliipa Azam tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika.Chirwa amewaambia marafiki zake...

MZEE MAGALI ALIVYOMWEKEA UPUPU MWALIMU WAKE

0
Mkali wa filamu za Kibongo, Charles Magali ameibuka na kuweka wazi siri aliyokuwa ameificha toka utotoni na kudai kuwa aliwahi kumuwekea mwalimu wake upupu...

NDEMLA: NITASAINI YANGA

0
KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Simba, Said Ndemla amesema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya msimu ujao hivyo kwa sasa anafikiria kwenda kucheza nje ya...

CAF YAITISHA KIKAO CHA DHARULA

0
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika CAF, Ahmad Ahmad ameitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya shirikisho hilo kufuatia sintofahamu katika...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS