Marce Ben Komba
TETESI ZA USAJILI: MESSI KUNG’OLEWA PSG…WAARABU WAMPA MIL 1 KILA DK...
Lionel Messi, 35, ameahidiwa kuwa atalipwa jumla ya pauni milioni
193 sawa na Euro milioni 220 sawa na TSh496,706,137,823.22 ili kujiunga na klabu ya Al...
REFA MECHI YA SIMBA SC VS HOROYA AC…KAMA YUPO FEA FEA...
Vigogo Simba wana dakika 90 za kuandika rekodi ya kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF wikiendi hii endapo wataibuka na ushindi dhidi ya...
MKWAKWANI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA…WACHEZAJI WATALISHWA UDUVI…WATAOGESHWA MAJI YA IRIKI
Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation imefikia kwenye utamu wake baada ya Timu 8 kutinga hatua ya Robo Fainali.
Timu zilizotinga hatua ya Robo...
MWAMUZI MECHI YA YANGA VS US MONASTIR…WANANCHI WAMEPATA ZALI KWA REFA...
Wakati Yanga wakijiandaa kuivaa US Monastir Kwa Mkapa wikiendi hii, huyu ndio mwamuzi atakaeamua hatima yao siku ya Jumapili.
Kwa upande wa Yanga watachezeshwa na...
RAISI HOROYA:- NIMESHTUKA KUSIKIA SIMBA KLABU KUBWA AFRIKA…KELELE NYINGI MITANDAONI…IMEACHWA MBALI...
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni...
MOLOKO AMGOMEA KOCHA NABI…”NAHITAJI KUTUMIKA ZAIDI…SITOKUBALI HADI MWISHO
KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi anapiga hesabu kali za kuhakikisha mastaa wa kikosi chake wanapata muda wa kupumzika pindi wanapotumika sana, ila yupo mmoja...
SIMBA YAFANYA MAAJABU YAKE…KLABU BINGWA MIDOMO WAZI…RAJA CA HAWAAMINI MACHO YAO
LICHA ya Simba kutofanya vizuri kwenye mechi mbili za Klabu Bingwa Barani Afrika lakini ndio timu pekee iliyopiga hesabu zake vizuri kwenye mechi muhimu...
YANGA ILITUPIGA KIPIGO CHA MBWA KOKO…WANGETUONEA HURUMA TU…SISI HATUPO LIGI YA...
BAADA ya Geita Gold kuambulia kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Yanga ,Mkurugenzi wa Geita Gold Zahar Michuzi amefunguka na kusema kuwa Yanga waliwapangia...
GOLIKIPA YANGA ATIMKIA KENYA…ATAMBULISHWA KIBABE…AKABIDHIWA JEZI SHANGWE TU
Golikipa wa zamani wa Yanga SC, KMC na Mtibwa Sugar SC, Farouk Shikalo amejiunga na klabu ya Kakamega Homeboyz ya nchini Kenya.
Shikalo alikuwa mchezaji...
AZAM FC NDIO BASI TENA…KOCHA AWASHANGAA MASTAA WAKE…WAJITOA WENYEWE
Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala, amefunguka kuwa anasikitishwa na mwenendo wa timu hivyo kwa kushirikiana na
benchi la ufundi watahakikisha kuwa wanafanya...