Baada Ya Mvutano, Fountain Gate Yakubali Kumuachia Abushiri Yanga
KLABU ya Yanga inatajwa kufikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Juma Abushiri kutoka Fountain Gate kwa mkataba wa miaka mitatu, ikiwa ni…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
KLABU ya Yanga inatajwa kufikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Juma Abushiri kutoka Fountain Gate kwa mkataba wa miaka mitatu, ikiwa ni…
BAADA ya kujiunga na Yanga kama kocha wa muda, Abdulhamid Moalin ameonyesha uwezo mkubwa kwa kuiongoza timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi…
UONGOZI wa Yanga umeanza kufanya maboresho ya kikosi kuelekea msimu wa 2026/27 baada ya kufanya tathmini ya wachezaji na kuamua kufanya mabadiliko…
BEKI wa kimataifa wa Yanga, Yao Kouassi, huenda akawa mmoja wa wachezaji watakaotikisa dirisha hili la usajili baada ya kumalizika kwa mkataba…
UONGOZI wa timu TRA United umeingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania saini ya nahodha wao, Nasri Kombo, baada ya kuonyesha nia ya kumbakisha…
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba SC, Davis Fadlu, ameshindwa kujiunga na Yanga SC baada ya mazungumzo baina ya pande hizo mbili kuvunjika…
UONGOZI wa Yanga SC unaendelea kumfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa Pamba Jiji FC, Mathew Tegisi Momanyi, raia wa Kenya, katika harakati za…
KIUNGO wa Yanga SC, Max Nzengeli, ameweka wazi msimamo wake kuhusu hatma yake ndani ya kikosi hicho, akisisitiza kuwa bado yupo tayari…
WAKATI Yanga ikisherehekea ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kufanya paredi leo Jumamosi ya Julai 4, 2026, mashabiki kadhaa wa timu hiyo…
RAIS wa Klabu ya Yanga, Hersi Said, amesema uongozi wa klabu hiyo tayari umeanza maandalizi ya msimu wa 2026/27 kwa lengo la…
KIUNGO wa Yanga, Mohamed Damaro, anatarajiwa kuondoka ndani ya klabu hiyo baada ya kuingia kwenye orodha ya wachezaji wanaotarajiwa kuachwa kuelekea msimu…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga SC, Prince Dube, ameanza rasmi ukurasa mpya wa maisha yake ya soka baada ya kutambulishwa na klabu ya…