Mngqithi Awasili Na Timu Yake, Moalin Yupo Sana
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi muundo wa benchi la ufundi kuelekea msimu wa 2026/27, ukithibitisha kuwa kocha wa muda, Abdihamid Moalin, ataendelea…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi muundo wa benchi la ufundi kuelekea msimu wa 2026/27, ukithibitisha kuwa kocha wa muda, Abdihamid Moalin, ataendelea…
UONGOZI wa TRA United umefanikiwa kufanya usajili mkubwa baada ya kumshawishi nahodha wao, Nasri Kombo, kusalia katika kikosi hicho kwa kuongeza mkataba…
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wamekaribia kutikisa tena dirisha la usajili baada ya kufikia makubaliano binafsi na winga mwenye kasi…
KLABU ya Yanga inaendelea na maboresho ya kikosi chake kuelekea msimu wa 2026/27, huku ikitajwa kuwa katika hatua za mwisho za kukamilisha…
BEKI wa Bakari Mwamnyeto anatarajiwa kuweka wazi hatma yake ya kubaki au kuondoka Yanga mara baada ya kumalizika kwa mechi ya hisani…
UONGOZI wa Yanga unatajwa kuwa katika mazungumzo ya mwisho ya kumsajili winga wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Makabi Lilepo, ikiwa ni…
Kocha Msaidizi wa Yanga, Matthew Silva ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo jambo linaloonekana kuchangiwa na sababu mbili za msingi. Kwanza ni…
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesema amejiunga na klabu hiyo akiwa na dhamira ya kuirejesha katika kilele cha soka la…
KIUNGO mshambuliaji wa Al Hilal, Jean Claude Girumugisha, anatajwa kuwa mbioni kuondoka katika klabu hiyo baada ya kupokea ofa nono kutoka klabu…
BAADA ya Yanga kumtambulisha rasmi kocha mkuu mpya, Manqoba Mngqithi, kuelekea msimu wa 2026/27, klabu hiyo inatarajiwa kutangaza nyongeza nyingine katika benchi…
BAADA ya Yanga kuonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Singida Black Stars, Amos Nduhumwe, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Muhibu Kanu, amesema…
Klabu ya Sekhukhune ya Afrika Kusini, imetangaza kuwatema wachezaji wake watatu akiwemo straika mmoja wa zamani wa Yanga. Sekhukhune ambayo sasa inafundishwa…