Home Blog Page 2774
MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba ametua rasmi katika kikosi cha TS Sporting ya Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa mkopo wa mwaka mmoja.Salamba alisajiliwa na Simba msimu uliopita kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Lipuli FC ya Iringa kwa dau la...
EMMANUEL Okwi amezidi kuwatia kiwewe Simba kwanza kutokana na kiwango anachokionyesha kwenye michuano ya Kombe la Afrika ‘Afcon’ kule Misri pili ni kuwa anazingua kusaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi.Okwi, raia wa Uganda, amefanikiwa kuibuka mchezaji bora wa mechi...
VITALIS Mayanga leo amejiunga na KMC kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea klabu ya Ndanda. Mayanga akiwa ndani ya Ndanda msimu wa 2018/19 alitupia jumla ya mabao 10 anaungana na Salim Aiyee ambaye msimu uliopita alitupia mabao 18, amesaini kandarasi...
KLABU ya Singida United leo imeanza rasmi usajili wake kuelekea msimu ujao kwa kuwasajili majembe mawili. Beki wa kushoto, Salum Marcelo ambaye alikuwa akitumikia Malindi FC na mshambuliaji, Herman Frimpong kutoka Ghana wamesaini kandarasi ya miaka mitatu.Ofisa Habari wa Singida...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufunguliwa kwa Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili kwa msimu wa 2019/2020.Dirisha litafungwa Julai 31, 2019 na hakutakua na muda...
MANCHESTER United wamekubali kwa sasa mambo yaishe kwa kiungo ,Paul Pogba ambaye ameomba kusepa ndani ya kikosi hicho.United wamenyoosha mikono baada ya kuamua kutangaza dau la kumuuza mchezaji huyo ambaye anatajwa kujiunga na Real Madrid ama Juventus.United imesema kuwa...
MENEJA wa Ibrahimu Ajibu, Athuman Ajibu amesema kuwa timu atakayojiunga mteja wake itajulikana.Ajibu alikuwa anatakiwa kujiunga na TP Mazembe dili hilo liliyeyuka kwa kile kilichoelezwa dau kubwa huku akitajwa tayari amemalizana na Simba.Akizungumza na Saleh Jembe, Ajibu amesema kuwa kwa...
MENEJA wa nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu, Athuman Ajibu amesema kuwa kwa sasa suala la timu atakayojiunga mteja wake Ajibu bado ni pasua kichwa hivyo kesho anaamini mipango itakuwa imekamilika.Ajibu alikuwa anahitajika kujiunga na TP Mazembe aliamua kuzingua kwa...
MSHAMBULIAJI mpya wa KMC, Salim Aiyee ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa msimu ujao atatacheka na nyavu mpaka achoke.Aiyee akiwa Mwadui FC alitupia jumla ya mabao 18 kwenye ligi kuu msimu wa 2018/19."Nimetua KMC kufanya kazi maalumu...
NYOTA wa timu ya Taifa ya Uganda na timu ya Simba, Juuko Murshid amesema kuwa yupo fiti kumenyana na Misri bila kuhofia uwepo wa nyota Mohamed Salah anayekipiga Liverpool.Uganda itamenyana leo na Misri uwanja wa Cairo International ikiwa ni...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS