KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amewaaga mashabiki wa timu hiyo na kuwashukuru kwa yote waliyoshirikiana kwa kipindi cha misimu miwili ndani ya klabu hiyo.Mkataba wa Niyonzima wa miaka miwili na Simba umemalizika hivi karibuni huku kukiwa hakuna...
UNAAMBIAWA TP Mazembe, bado wamemkomalia nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu ambaye usajili wake uliingia doa kwa kushindwana kwenye malipo.Wakala wa TP Mazembe, Patrick Mazembe amesema kuwa bado Mazembe wanahitaji huduma ya mchezaji huyo ambaye msimu wa 2018/19 alikuwa ni...
Na Saleh Ally, CairoGUMZO kubwa la hapa Misri ni kuondolewa kwa kiungo Amr Warda katika timu ya soka ya taifa ya Misri.Inakuwa vigumu kujua ukubwa wa suala hilo kwa hapa Misri kama utakuwa nje au mbali na nchi hii.Kuna...
BEKI Tairone Santos da Silva (30) amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba.Santos Amejiunga na Simba akitokea timu ya Atletico Cearense FC ya nchini Brazili.Huya anakuwa ni Mbrazili wa tatu kusaini ndani ya Simba baada ya kuanza...
BEKI wa Yanga, Haji Mwinyi, huenda akatua Polisi Tanzania iliyo chini ya Suleman Matola ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja.Mwinyi kwa sasa yupo huru kusaini na timu yoyote baada ya mkataba wake kumalizika ndani ya Yanga.Pia imeelezwa kuwa Polisi...
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango namba mbili wa Simba, Deogratius Munish 'Dida' anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho na kutimkia Namungo FC.Habari zimeeleza kuwa kwa sasa, Dida anamalizia mkataba wake wa mwaka mmoja ndani ya Simba hivyo kusajiliwa kwa Beno...
MENEJA wa Juventus, Maurizio Sarri amesema kuwa huwa anavuta sigara nyingi kwa siku ili kujiskia vizuri baada ya mechi.Sarri ambaye ametimka Chelsea kwa kile kilichoelezwa ktokuwa na maelewano na mashabiki kutokana na mfumo wake kwa sasa yupo Juventus."Kwa siku...
BAADA ya kukamilisha usajili wa Wabrazil wawili, mabosi wa Simba wamepanga kushusha kiungo kutoka nchini Ureno atakayekuja kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Wabrazil waliowasajili Simba ni kiraka, Gerson Fraga Vieira, anayemudu kucheza...
DAR ES SALAAM: Weka pembeni nyimbo zake za mwaka huu za Tetema, The One na Inama, sasa ni zamu ya Kanyaga kutoka kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambao umesababisha kizazaa kwa hasimu wake kimuziki, Ali...
WACHEZAJI wapya wa Yanga na wale wa zamani wanatarajia kuanza kuingia nchini wiki hii kwa ajili ya kujiandaa na kambi ya timu hiyo inayotarajiwa kuanza rasmi Julai 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam.Tayari Yanga imeshasajili nyota 10 wapya...