Trending Stories
View All
YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA MASHABIKI, KAZI YAO NI MOJA TU KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi Septemba14 ili kuwapa sapoti wachezaji wakipambana kwenye mchezo wa hatua ya kwanza…
NYOTA MWINGINE WA SIMBA ATIMKIA KUKIPIGA ASIA
Al Jahara Sporting Club ni nchi inayopatikana ndani ya Bara la Asia katika nchi ya Kuwaiti kwenye mji wa Jahra…
GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amejiunga na klabu ya Girona ya Hispania ambayo ilishuka daraja msimu uliopita.Guardiola amejiunga na…
KOCHA STARS: WACHEZAJI SASA WAMEANZA KUIVA, TIMU KUTIA TIMU BONGO LEO
SELEMAN Matola, Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema wachezaji wameanza kucheza soka linaloeleweka wakiwa uwanjani tofauti…
HASSAN MWAKINYO AOMBA KUPIGWA TAFU NA SERIKALI
HASSAN Mwakinyo, bondia wa ngumi za kulipwa Bongo ambaye ni balozi wa kampuni ya kubashiri ya SportPesa ameiomba Serikali kuongeza…
STARS YAJIVUNIA UWANJA WA NYUMBANI, SASA KAZI YA BURUNDI KUISHIA TAIFA
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema kuwa anawashukuru mashabiki wa Tanzania kwa kutoa sapoti…
BEI MPYA ZA VING’AMUZI VYA DSTV, MAMBO KWA ULAINII….
Kila mtu macho kodo kwa punguzo la hadi 36% DStv Premium Sasa ni TZS 129,000/= Kutoka TZS 169,000/= DStv Compact…
AZAM FC YAPANIA KUFANYA MAKUBWA MBELE YA WAZIMBABWE
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kupeperusha bendera ya Taifa Kimataifa kwa kupata matokeo chanya mbele ya Triangle…
YANGA YAZIPIGIA HESABU NDEFU PESA ZA CAF
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unajipanga kufanya vema kwenye michuano ya kimataifa inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) ili…
WALIOOA FC VS WASIOOA KESHO HAPATOSHI UWANJA WA CHUO CHA USTAWI DAR
Hatimaye ule mpambano wa kukata na shoka kutoka katika Kampuni ya Global Group, kati ya timu ya Waliooa FC dhidi…
SIRI YA NEYMAR YAFICHUKA REAL
Sababu kuu tatu ndizo zinaelezwa kuwa zilisababisha Real Madrid kuachana na mpango wa kumsajili staa wa Paris St. Germain, Neymar.…
JUMA ABDUL APATWA NA PIGO KUBWA, AFIWA NA MAMA YAKE
Beki wa kulia wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul Jaffar Mnyamani amepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na mama yake…
AZAM FC YAANZA KUWALIA MINGO WAZIMBABWE, KUKIWASHA LEO UWANJA WA CHAMAZI
KIKOSI cha Azam FC leo kitashuka uwanjani majira ya saa 1:00 Usiku kumenyana na Friend Rangers FC.Mchezo huu wa kirafiki…
KARIA AZIDI KUWAUMIZA ZAIDI YANGA NA ZAHERA, AJA NA KAULI YA KUTISHA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa halitakuwa na huruma kwa klabu yoyote itakayotaka kubadili rangi ya nembo ya wadhamini…
ZAHERA ATAJA SABABU YA KUIPIGA CHINI MBAO MECHI YA KIRAFIKI
Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbao wakati timu hiyo itakapokuwa kambini jijini…
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO ALHAMIS
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO ALHAMIS