Trending Stories
View All
CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL
DANI Ceballos mchezaji mpya wa kikosi cha Arsenal ambaye amejiunga kwa mkopo akitokea Real Madrd amesema kuwa ni wakati wake kuonyesha…
NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU
MARCEL Kaheza mshambuliaji wa kikosi cha Smba huenda msimu ujao akaibukia kikosi cha Polisi Tanzania.Kaheza amerejea kutoka Kenya baada ya…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
YANGA: TUNASHUSHA MUZIKI MNENE KUWAMALIZA WAKALI WA EVERTON
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa klabu ya Kariobangi Sharks sio nyepesi kwani iliwanyoosha Eveton kutoka England.Deo Muta, Katibu wa Kamati…
LEWANDOWSKI ANAKIMBIZIA REKODI TU
ROBERT Lewandowski nyota wa timu ya Bayern Munich ni miongoni mwa washambuiaji bora kutokea kwenye Ligi Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’.…
DUH MESSI CHAPA NYINGINE AMFUNIKA CR 7, NEYMAR KWA MKWANJA
LIONEL Messi mshambuliaji wa Barcelona inayoshiriki La Liga yeye anaongoza kwa kukunja mkwanja mrefu kuliko wengine wanaopiga soka kwa sasa.Kwa…
WAFANYAKAZI WAPUNGUZIWA MSHAHARA KUMJAZIA CR 7
CRISTIANO Ronaldo nyota anayekipiga Juventus ambao ni mabingwa wa Serie A ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea.Alikuwa…
LAURENT APANGA KUISHTAKI ARSENAL
LAURENT Koscienly anapanga kuuchukulia hatua za kisheria uongozi wa Arsenal kutokana na kupewa ofa ndogo ya mshahara.Koscienly aligoma kwenda kwenye…
VIDEO : TIZI LA MKUDE, AJIBU, NYONI KAMBINI STARS
BREAKING NEWS: KILOMONI “NINJA” AACHIWA NA POLISI NA KUENDELEA NA MKUTANO WA WAANDISHI
Mwanachama maarufu wa Simba, Hamisi Kilomoni ameachiwa huru bada ya kukamatwa na jeshi la Polisi kutokana na kufanya mkutano bila…
UNITED SASA WASHINDWE WENYEWE KWA KIUNGO WA KEIZER
MENEJA wa Sporting CP, Marcel Keizer amesema kuwa mchezaji wake Bruno Fernandez anaweza kujiunga na Manchester United.Kiungo huyo alikuwa kwenye…
KUKAMATWA KWA MZEE KILOMONI KWAWA GUMZO…
Kukamatwa kwa mwanachama maarufu wa Simba, Hamisi Kilomoni kutokana na kufanya mkutano wa waandishi wa habari bila ya kuwa na…
BREAKING: MZEE KILOMONI AKAMATWA WAKATI AKIFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
POLISI wamezuia mkutano ambao ulipaswa ufanyike leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa klabu ya Simba, Hamis Kilomoni. Mkutano…
MAANDALIZI STARS YAPAMBA MOTO, AJIBU, MANULA, NYONI NDANI YA KIKOSI
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Ettiene Ndayiragije amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kujenga…
YANGA YAANDAA GARI MAALUMU LA KUKUSANYA KIJIJI
KATIBU wa Hamasa wa Klabu ya Yanga, Deo Muta amesema kuwa Agosti 4 uwanja wa Taifa lazima wawanyooshe Kariobangi Sharks…