WEMA SEPETU AMTAJA BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO

0

SHABIKI mkubwa wa timu ya Yanga, Wema Sepetu amesema kuwa ana imani na kikosi cha Yanga kitatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao.Sepetu amesema kuwa imani yake ni kuona kikosi cha Yanga kinafanya makubwa na anaifuatilia timu yake kwa ukaribu kila hatua."Naipenda Yanga na ninaifuatilia katika kila hatua, kwa namna walivyofanya usajili msimu huu,ubingwa unawahusu ni suala la...

MANCHESTER UNITED: ERICK BAILLY ATAREJEA KWENYE UBORA WAKE

0

MENEJA wa Manchester United amesema kuwa ana imani na mchezaji wake Erick Bailly atarejea kwenye ubora wake licha ya kupata majeraha kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya TotthenhamSolskjaer amesema :"Tutamfanyia vipimo vikubwa mchezaji wetu ili kuona namna gani atarejea kwenye ubora wake, hivyo tuna imani atarejea kwenye ubora akipata matibabu.Nyota huyo raia wa Ivory Coast alipambana kujiweka kwenye ubora...

KOCHA STARS: TUPO TAYARI KUPAMBANA NA KENYA

0

ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa imani ni kubwa kwa timu ya Taifa ya Tanzania kupata matokeo chanya mbele ya timu ya Kenya kwenye michuano ya Chan.Tanzania itacheza kesho na Taifa Stars uwanja wa Taifa ikiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Chan.Akizungumza na Saleh Jembe, Ndayiragije amesema kuwa kikosi kinazidi...

DILI LIKIKAMILIKA LUKAKU KUSEPA UNITED MAZIMA

0

ROMELU Lukaku Muda mchache mara baada ya Manchester United kurejea England ikitokea ziarani barani Asia amekwea pipa kuelekea nchini Ubelgiji.Habari zinaeleza kuwa Lukaku ameamua kwenda kwao Ubelgiji kwa ajili ya kukamilisha mazungumzo na Inter Milan ya Italia.Mipango ikamilika huenda msimu ujao akaitumikia timu ya Inter Milan ambao wamekuwa wakihaha kuipata saini yake.

SERIKALI YARUHUSU WACHEZAJI KUMI WA KIGENI KUSAJILIWA BONGO, MASHARTI YAKE SI MCHEZO

0

HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amesema kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji wa kigeni kusajiliwa kumi kwa timu za ndani.Matokeo haya ni baada ya Dk.Mwakyembe kukaa na uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kuzungumza kwa kina juu ya suala hili ambalo awali serikali ilizuia.Mwakyembe amesema kuwa kuna vigezo vya msingi ambavyo vinapaswa viangaliwe...

BREAKING: BOCCO ATEULIWA KUWA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA

0

Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ndayiragije Etienne amemteua Mshambuliaji John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani,akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni.Taifa Stars inajindaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya Jumapili Julai 28 Uwanja wa Taifa.

KOCHA YANGA ATAJA SIKU YA KURUDI BONGO

0

MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameskia juu ya suala la wachezaji wake kugoma kujiunga na kambi kwa kutolipwa mshahara pamoja na yeye kugomea kurejea Bongo jambo ambalo halina ukweli.Zahera bado hajajiunga na timu kambini Morogoro na amesema kuwa anarejea muda wowote kuanzia sasa."Naskia kwamba naidai timu ya Yanga, hakuna ukweli siidai hata elfu moja timu ya...

WAGENI 100 WAIGOMBANIA NAFASI YA AMMUNIKE, WAZAWA WAICHUNIA

0

WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa mpaka sasa tayari wamepokea maombi ya makocha 100 wanaotaka nafasi ya kuinoa timu ya Taifa.Katika orodha hiyo hakuna hata jina moja la mzawa ambaye ameomba kuinoa timu ya Taifa ya Tanzania baada ya Kocha Mkuu Emmanuel Ammunike  kusitishiwa mkataba wake baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon 2019...

CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL

0

DANI Ceballos mchezaji mpya wa kikosi cha Arsenal ambaye amejiunga kwa mkopo akitokea Real Madrd amesema kuwa ni wakati wake kuonyesha uwezo wake alionao.Ceballos amesema kuwa ana imani mashabiki watapenda wenyewe namna atakavyofanya ndani ya kikosi hicho."Ni furaha kuwa ndani ya kikosi cha Arsenal na nina amini kwamba thamani ya jezi niliyopewa lazima niifanyie kazi kwa kuwa nakutana na kocha...

NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU

0

MARCEL Kaheza mshambuliaji wa kikosi cha Smba huenda msimu ujao akaibukia kikosi cha Polisi Tanzania.Kaheza amerejea kutoka Kenya baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kuitumikia timu ya AFC Leopards, uongozi wa Simba umemuweka kwenye hesabu za kumtoa kwa mkopo.Kaheza amesema: "Mimi ni mchezaji na uwezo wangu unajulikana hivyo kikosi ambacho nitakwenda ninahitaji kupata namba kikosi cha kwanza," amesema.