NINJA AMTAKA KAGERE KUWA AMEMSUMBUA UWANJANI, AWEKA WAZI JUU YA MKATABA – VIDEO

0

Beki Abdallah Shaibu Ninja akifunguka juu ya mkataba wake na Yanga na akimweleze Meddie Kagere alivyosumbua zaidi msimu uliopita.

ZAHERA AMWAGA SABABU LUKUKI ZA CONGO KUPOTEZA MECHI NA UGANDA – VIDEO

0

Kocha Msaidizi wa DR Congo akitaja sababu ya timu yake kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Uganda katika Kombe la Mataifa ya Afrika.

VANESSA ATHIBITISHA KUACHANA NA JUX

0

Mwanamuziki anaefanya vizuri na ngoma ”Thats For Me”  Vanessa Mdee leo Kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye instastory  amethibitisha rasmi kuachana na aliekua mpezi wake ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Juma Jux.Vanessa amethibitisha ilo baada ya kutoa nafasi kwa mashabiki zake wa instagram kumuuliza maswali hata ” wewe na juma mmeachana??” shabiki  aliuliza swali  Vanessa alijibu swali ilo...

BAADA YA YANGA KUSAJILI MASHINE ZA MAANA, YONDANI AJA NA TAMKO LA KUTISHA KWA WAPINZANI

0

KELVIN Yondani juzi alivyoingia tu Instagram alishangaa kuona posti kibao kwenye kurasa za mashabiki wa Yanga zikionyesha beki Ally Ahmed Ally akisaini kuichezea timu hiyo, hapohapo akaguna na kusema “Kwa beki hii? Tafuteni kwa kupitia.”Yanga mpaka sasa imesaini mabeki wa kati wapya watatu akiwemo Mburundi, Mustapha Suleiyman.Usajili huo wa mabeki watatu unafikisha idadi ya mabeki watano tofauti na Abdallah...

ROSTAM AWA MFALME YANGA

0

ROSTAM Aziz ni kama mfalme kwa sasa Yanga hii ni baada ya mastaa wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ na Sekilojo Chambua kuupongeza ushauri alioutoa kwa klabu hiyo.Juzi Alhamisi, Rostam alijitokeza hadharani na kuweka wazi mikakati yake ya jinsi gani ataisaidia Yanga ili iweze kutoka hapa ilipo na kupiga hatua kubwa kiuchumi kama zilivyo klabu nyingine kubwa...

MZEE AKILIMALI ATOA TAMKO JUU YA ROSTAM AZIZ, AUNGANA NAYE

0

Mjumbe wa Baraza la Wazee Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali ‘Mzee Akilimali’ ambaye ni Katibu ameunga mkono hoja ya Rostam na kusema Yanga haiwezi kumilikiwa na mtu mmoja.“Kwa kweli mimi nimefurahishwa na kauli ya Rostam na ninamkubali sana kwani klabu kubwa kama Yanga ambayo ina wanachama wengi huwezi kuimilikisha na mtu mmoja kwani kufanya hivyo ina maana kila kitu atakuwa...

YANGA YAZIDI KUFANYA KUFURU, MCHEZAJI MWINGINE MPYA ASAINI MIAKA MITATU – VIDEO

0

Yanga imezidi kuboresha makali ya kikosi chake kuelekea msimu ujao kwa kukamilisha usajili wa mchezaji Mapinduzi Balama kutoka Alliance Schools ya Mwanza kwa mkataba wa miaka mitatu.