ARSENAL WABISHI KINOMA WAKOMAA NA AUBAMEYANG
ARSENAL imesema kuwa haina mpango wa kumuuza nyota wake, Pierre Aubameyang msimu ujao.Awali ilikuwa inaelezwa kuwa haina mpango wa kumuuza nyota huyo msimu ujao ili kupata mkwanja mrefu wa kuutumia kwenye usajili.Timu kadhaa ambazo ilikuwa zinatajwa kuiwinda saini ya mchezaji huyo ni pamoja na Real Madrid, Barcelona na Manchester United."Auba hauzwi hakuna aliyekuja kwetu akimuhitaji nyota huyo wala nasi...
SIMBA MSIMU UJAO MCHEZAJI MMOJA KUCHEZA ZAIDI YA NAFASI MOJA, MIFUMO MPAKA MITATU
PATRICK Aussems,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anataka kuona wachezaji wake wanacheza nafasi zaidi ya moja ili kutumia mifumo miwili au mitatu msimu ujao. Msimu uliopita, Aussems alitumia mifumo miwili zaidi, ule wa 3-5-2 hasa kipindi Shomari Kapombe akiwa fiti lakini baadaye alitumia zaidi ule mfumo wa 4-4-2.Simba inajiaanda na michuano ya kimataifa ambapo mchezo wa kwanza utakuwa kati ya...
MBEYA CITY: KAZI KUBWA ITAFANYIKA MSIMU UJAO
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye mkakati wa kukisuka upya kikosi cha Mbeya City ili kifanye maajabu msimu ujao.Mwambusi amesema kuwa kazi yake kubwa kwa sasa ni kuandaa kikosi bora kitakachofanya mambo mazuri uwanjani."Kila kitu kinakwenda sawa na msimu ujao nataka kuona timu inapata matokeo chanya kwenye mechi zetu zote tutakazocheza," amesema.Mbeya...
WEMA SEPETU AMTAJA BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO
SHABIKI mkubwa wa timu ya Yanga, Wema Sepetu amesema kuwa ana imani na kikosi cha Yanga kitatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao.Sepetu amesema kuwa imani yake ni kuona kikosi cha Yanga kinafanya makubwa na anaifuatilia timu yake kwa ukaribu kila hatua."Naipenda Yanga na ninaifuatilia katika kila hatua, kwa namna walivyofanya usajili msimu huu,ubingwa unawahusu ni suala la...
MANCHESTER UNITED: ERICK BAILLY ATAREJEA KWENYE UBORA WAKE
MENEJA wa Manchester United amesema kuwa ana imani na mchezaji wake Erick Bailly atarejea kwenye ubora wake licha ya kupata majeraha kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya TotthenhamSolskjaer amesema :"Tutamfanyia vipimo vikubwa mchezaji wetu ili kuona namna gani atarejea kwenye ubora wake, hivyo tuna imani atarejea kwenye ubora akipata matibabu.Nyota huyo raia wa Ivory Coast alipambana kujiweka kwenye ubora...
KOCHA STARS: TUPO TAYARI KUPAMBANA NA KENYA
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa imani ni kubwa kwa timu ya Taifa ya Tanzania kupata matokeo chanya mbele ya timu ya Kenya kwenye michuano ya Chan.Tanzania itacheza kesho na Taifa Stars uwanja wa Taifa ikiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Chan.Akizungumza na Saleh Jembe, Ndayiragije amesema kuwa kikosi kinazidi...
DILI LIKIKAMILIKA LUKAKU KUSEPA UNITED MAZIMA
ROMELU Lukaku Muda mchache mara baada ya Manchester United kurejea England ikitokea ziarani barani Asia amekwea pipa kuelekea nchini Ubelgiji.Habari zinaeleza kuwa Lukaku ameamua kwenda kwao Ubelgiji kwa ajili ya kukamilisha mazungumzo na Inter Milan ya Italia.Mipango ikamilika huenda msimu ujao akaitumikia timu ya Inter Milan ambao wamekuwa wakihaha kuipata saini yake.
SERIKALI YARUHUSU WACHEZAJI KUMI WA KIGENI KUSAJILIWA BONGO, MASHARTI YAKE SI MCHEZO
HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amesema kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji wa kigeni kusajiliwa kumi kwa timu za ndani.Matokeo haya ni baada ya Dk.Mwakyembe kukaa na uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kuzungumza kwa kina juu ya suala hili ambalo awali serikali ilizuia.Mwakyembe amesema kuwa kuna vigezo vya msingi ambavyo vinapaswa viangaliwe...
BREAKING: BOCCO ATEULIWA KUWA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ndayiragije Etienne amemteua Mshambuliaji John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani,akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni.Taifa Stars inajindaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya Jumapili Julai 28 Uwanja wa Taifa.
KOCHA YANGA ATAJA SIKU YA KURUDI BONGO
MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameskia juu ya suala la wachezaji wake kugoma kujiunga na kambi kwa kutolipwa mshahara pamoja na yeye kugomea kurejea Bongo jambo ambalo halina ukweli.Zahera bado hajajiunga na timu kambini Morogoro na amesema kuwa anarejea muda wowote kuanzia sasa."Naskia kwamba naidai timu ya Yanga, hakuna ukweli siidai hata elfu moja timu ya...