Trending Stories
View All
YANGA YAPEPERUSHA POINTI SITA KATI 18 ILIZOKUWA IKISAKA, SARE TATU MFULULIZO
YANGA kwenye mechi zake sita hivi karibuni ambazo ni sawa na dakika 540 kwenye Ligi kuu Bara imeshinda mechi tatu…
MOURINHO ABEBA MATUMAINI LIGI YA MABINGWA LICHA YA KICHAPO
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa bado wana nafasi ya kusonga mbele kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa…
SIMBA:TUPO TAYARI KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED
UONGOZI wa Simba umesema kuwa maadalizi yao ya mchezo wa kesho dhidi ya Biashara United yapo sawa ni suala la…
MZUNGU WA YANGA ATOA TAMKO HILI
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake watapambana kupata matokeo kwenye mechi zake zinazofuata kutokana na kugundua…
MTIBWA SUGAR:: VIWANJA NI TATIZO,VIBORESHWE
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa kuna umuhimu wa sehemu za kuchezea kuboreshwa ili timu zicheze kwa…
BOCCO:TUTAPAMBANA MBELE YA BIASHARA UNITED
NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa kesho watambana mbele ya Biashara United ili kupata pointi tatu muhimu.Simba itaikaribisha Biashara…
ANTONIO CONTE AMPA MANENO YAKE ERIKSEN
ANTONIO Conte, Kocha Mkuu wa Inter Milan amesema kuwa nyota wake mpya, Christian Eriksen anahitaji muda ili kuzidi kuwa bora…
WACHEZAJI YANGA WARUDISHA ZIGO LA SARE KWA UONGOZI WAO
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa matokeo yao ya sare wanayopata uongozi utafanyia kazi makosa yao.Februari 23 Uwanja wa…
JEMBE LA KAZI SASA LAANZA MAZOEZI NDANI YA SIMBA
MZAMIRU Yassin, kiungo wa Simba ameanza mazoezi ili kurejea uwanjani kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Yanga.Mchezo huo…
BIASHARA UNITED WAIPIGIA HESABU HIZI SAFU YA USHAMBULIAJI YA SIMBA KESHO TAIFA
OMARY Madenge, Kocha Msaidizi wa Biashara United amesema kuwa mpango mkubwa kwa timu yake ni kupambana mbele ya Simba na…
COASTAL UNION YATUMA UJUMBE HUU KWA YANGA
BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Coastal Union amesema kuwa watapambana mbele ya Yanga kupata matokeo chanya kwenye mchezo wa kesho utakaopigwa…
ISHU YA WACHEZAJI YANGA KUTOLIPWA MKWANJA WAO YAFIKIA HAPA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unawalipa wachezaji wao mshahara wao kwa wakati pamoja na wafanyakazi wengine hakuna ambaye anwadai.Taarifa ambayo…
HESABU KUBWA ZA SIMBA MSIMU HUU HIZI HAPA
JONAS Mkude, kiungo ndani ya Simba amesema kuwa akili zao kwa sasa ni kuona namna gani wanaweza kutetea taji lao…
MWADUI WANA BALAA KINOMA KWA SARE HAWAJAMBO, CHEKI WALICHOFANYA
TIMU ya Mwadui FC ya Shinyanga kwa kulazimisha sare nayo ni balaa ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20.…
AZAM SASA HASIRA ZA SARE MBELE YA NDANDA KUHAMIA KWA NAMUNGO
KIKOSI cha Azam FC kimeanza maandalizi ya kuiwinda Namungo FC kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa kesho, Februari 22, saa…
KOCHA STARS ATAJA KINACHOHITAJIKA NDANI YA TIMU ILI KUPETA CHAN
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kikubwa kinachohitajika kwenye mashindano ni maandalizi…