Trending Stories
View All
KINACHOWAKOSESHA NGUVU KIPINDI CHA PILI WACHEZAJI WA NAMUNGO HIKI HAPA, DAWA YA AZAM YAANDALIWA
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wachezaji wake wanacheza kwa kasi kipindi cha kwanza na kushindwa kumudu…
YANGA WAJIPA MATUMAINI YA KUREJEA KWENYE UBORA WAO TENA
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa bado wana nafasi ya kurekebisha makosa yao waliyoyafanya ndani ya Ligi Kuu Bara…
MZUNGU WA SIMBA ATAKA MABAO MENGI KWA WASHAMBULIAJI WAKE KUPATA POINTI TATU
Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa kuwa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Meddie Kagere na John Bocco kazi…
KOCHA COASTAL UNION AJIBEBESHA MZIGO MZITO
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Ruvu Shooting kinamhusu yeye kwa…
SIMBA YAINGIA KWENYE MTIHANI MZITO WA BIASHARA BONGO
BAADA ya Simba kuibuka na pointi sita jumla mbele ya Kagera Sugar hesabu zao kwa sasa ni mbele ya Biashara…
MASAU BWIRE HANA DOGO AWAPIGA MKWARA HUU POLISI TANZANIA
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa wamejipanga kuacha alama nzuri kwa Polisi Tanzania itakayowafanya waikumbuke timu yao…
MZUNGU WA YANGA KUKUTANA NA KIGINGI HIKI NDANI YA LIGI KUU BARA
KOCHA wa Yanga, Luc Eymael anakibarua kizito cha kumenyana na Coastal Union, Februari 23 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara…
BAADA YA KUIBANA YANGA, POLISI TANZANIA YATAJA KINACHOWABEBA
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania aliyetoka kuwabana Yanga kwa kugawana pointi mojamoja Uwanja wa Ushirika amesema kuwa uwezo…
COASTAL UNION YAWAOMBA RADHI MASHABIKI, HUYU HAPA CHANZO CHA KUPOTEZA MBELE YA RUVU SHOOTING
SUDY Dondola, mlinda mlango namba moja wa Coastal Union amesema kuwa kupoteza pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting, Uwanja wa…
MTIBWA SUGAR WAIBUKIA HUKU BAADA YA POINTI MOJA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kilichoifanya timu yake kushindwa kupata matokeo mbele ya Tanzania Prisons ni…
AZAM FC: MAPAMBANO BADO YANAENDELEA, AKILI ZETU SASA NAMUNGO
AGREY Morris, nahodha wa Azam FC amesema kuwa kushindwa kupata ushindi mbele ya Ndanda sio mwisho wa mapambano kwani bado…
MADUDU YA LIGI DARAJA LA KWANZA YASIFUMBIWE MACHO, MFUMO WA PLAYOFF UBORESHWE
LIGI daraja la Kwanza inazidi kumeguka taratibu na ushindani wake unazidi kushika kasi kila iitwapo leo kwa timu shiriki kuonyesha…
WALE WENYE TABIA ZA WAWA NA MORRISON TUWAKEMEE KWENYE LIGI ZOTE, HATUA ZICHUKULIWE
JANUARI 4,2020 mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa kwa wapinzani wa jadi Yanga na Simba mzunguko wa kwanza uliacha…
MOURINHO AKIMBILIA KIVULI CHA MAJERUHI KISA KICHAPO CHA BAO 1-0
BAO la Timo Werner wa RB Leipzig kwa mkwaju wa penalti dakika ya 58 mbele ya Tottenham Hotspurs lilitosha kuilaza…
LIGI DARAJA LA KWANZA TUSIIFUMBIE MACHO KWANI HUKU MAMBO BADO
MECHI saba kwa sasa ndizo ambazo zimebaki kwa timu zinazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kumaliza ile ngwe ya kumtafuta mbabe…
ALLIANCE WAIVURUGA MWADUI FC, WALIPA KISASI CHA AZAM FC
DAVID Richard mshambuliaji wa Alliance jana alisepa na mpira wake mbele ya Mwadui FC Uwanja wa Nyamagana kwnye ushindi wa…