Trending Stories
View All
CHAMA NAYE AANZA MAKEKE YAKE LEO SIMBA IKIMPIGA 4-1 PLATINUM STARS
CLATOUS Chama, kiungo wa Simba leo amefanya yake wakati Simba ikiibuka kidedea kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Platinum…
NAMUNGO FC YAFANYA BIASHARA NA BAROLA WA BIASHARA UNITED
NURDINE Barola aliyekuwa mlinda mlango wa kikosi cha Biashara United amesajiliwa na timu ya Namungo FC kwa kandarasi ya mwaka…
BEKI YANGA KUTIMKIA LIPULI FC
ANDREW Vincent ‘Dante’ beki wa Yanga anatajwa kujiunga na kikosi cha Lipuli chenye maskani yake mkoani Iringa.Habari zinaeleza kuwa sababu…
SIMBA KUENDELEA KUTESTI MITAMBO AFRIKA KUSINI
Baada ya Simba jana kushinda mchezo wake wa kwanza wa kirafiki kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbert TVET…
RUVU SHOOTING YAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa tayari timu imeingia kambni kwa ajili ya kujiaanda na maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa…
MBAO YATAJA SABABU YA KUFANYA KLINIKI KUSAKA WACHEZAJI
UONGOZI wa Mbao umesema kuwa sababu kubwa ya kufanya kliniki ya kusaka wachezaji ni kutoa fursa kwa wachezaji wanaoipenda Mbao…
YANGA WATAJA SIKU YA KUREJEA ZAHERA BONGO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa, Kocha Mkuu Mwinyi Zahera anatarajiwa kujiunga na timu muda wowote kambini Morogoro, kuanzia sasa.Mratibu wa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbel Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
LIVERPOOL: TUNAJIPANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO
JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa msimu ujao utakuwa mgumu kwa timu zote kutokana kila mmoja kujipanga.Klopp amesema kuwa…
KMC YACHEKELEA KUTUPWA RWANDA KIMATAIFA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa ushiriki wao wa michuano ya Kagame umewajenga hivyo wamepata uzoefu wa kutosha kwenye michuano ya…
MANCHESTER CITY: HATUJAPATA OFA YA BAYERN MUNICH KUMTAKA SANE
PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amesema kuwa hajapata ofa yoyote kutoka kwa Bayern Munich ikimhitaji mchezaji wao Leroy Sane.Munich…
YANGA: TUPO VIZURI KWA MSIMU UJAO
HAFIDH Saleh mratibu wa Yanga amesema kuwa maandalizi yanaendelea vizuri mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao.Yanga imeweka kambi mkoani…
UNAAMBIWA KAMBI YA MORO NI NOMA, SIMBA AFRIKA KUSINI KUMENOGA, KESHO JUMATANO
KESHO Championi Jumatano lina habari zote kuhusu kambi ya Yanga Moro na ile ya Simba Afrika Kusini, makala na uchambuzi…
BWALYA ALIYEKUWA ANAWINDWA NA MNYAMA ASAINI EL GOUNA YA MISRI
NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya amejiunga na timu ya El Gouna FC ya nchini Misri.Bwalya alikuwa anatajwa…
KAZI KUBWA YA MBELGIJI WA SIMBA IPO HAPA
KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kina kazi kubwa ya kufanya kutimiza malengo yake kitaifa…
NYOTA STARS APELEKWA MUHIMBILI
MUDATHIR Yahaya nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars’ amepelekwa hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya…