Trending Stories
View All
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
GWAMBINA FC YAMTENGEA MAMILIONI NYOTA WA YANGA
TIMU ya Gwambina FC ya Mwanza ipo mtaani ikisaka saini ya kiungo wa Yanga Pius Buswita ambaye kwa sasa ni…
TANZANIA PRISONS, KAGERA SUGAR WAIGOMBANIA SAINI YA NYOTA HUYU SIMBA
MOHAMED Rashid ‘Mo Rashid’ anayekipiga Simba kwa sasa ameziingiza vitani timu nyingi za Ligi Kuu Bara zinazohitaji saini yake ikiwa…
KAGERA SUGAR: BADO TUPO SOKONI KUSAKA MAJEMBE
MECKY Maxime amesema kuwa kwa sasa tayari amefanikiwa kufanya usajili kwa wachezaji aliokuwa anawahitaji hivyo ni nafasi chache zimebaki.Maxime amesema…
KAZI IMEANZA MTIBWA SUGAR, WAINASA SAINI YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA
MTIBWA Sugar wameanza kazi ya usajili msimu huu baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji kutoka African Lyon, Awadh Salum.Salum…
KASSIM KHAMIS, IDDY SULEIMAN WAMPA WAKATI MGUMU NYOTA AZAM FC
KUSAJILIWA kwa nyota wa Mbeya City FC, Iddy Suleiman, Kassim Khamis kutoka Kagera Sugar kumefanya nafasi ya mshambuliaji Mbaraka Yusuph…
YANGA MPYA YANGA ATAJA SIKU YA KUTUA BONGO
FAROUK Shikalo mlinda mlango wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hana taabu yoyote kujiunga na mabosi hao anachosubiri ni simu…
UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO
MANCHESTER United leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Inter Milan mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Taifa…
BREAKING: MECHI NNE KALI ZA KIRAFIKI ZA SIMBA AFRIKA KUSINI
KWA sasa Simba ipo Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Hii hapa ratiba ya mechi za kirafikiJulai 23Simba…
CHEKI NAMNA MAKUNDI YA AFCON MWAKA 2021 YALIVYO, TANZANIA SAHANI MOJA NA WAARABU
MICHUANO ya Afcon nchini Misri mwaka 2019 imefika tamati na taifa la Allgeria wamebeba ndoo yao kwa mara ya pili…
JESHI ZIMA LA SIMBA HILI HAPA
MABOSI wa Simba wameweka wazi jeshi lao ambalo watalitumia kwa msimu ujao ambapo kikosi hicho kitaundwa na nyota 26 pekee.Simba…
BUNJU KUMENOGA, UWANJA WA SIMBA UMEFIKIA HATUA HII
MAMBO yanazidi kuwa moto ndani ya Simba ambapo kwa sasa kazi ya uboreshaji wa uwanja wa Bunju inazidi kwenda kwa…
KOCHA MDOGO AMPA KICHAPO KAKA YAKE NA KUTWAA KOMBE LA AFCON
ALIOU Cisse Kocha Mkuu wa Senegal jana aliadhibiwa na mdogo wake waliyepishana siku moja tu kuletwa duniani.Hivvyo kocha mdogo amempa…
YANGA WAJIPANGA KUWEKA KAMBI NJE YA NCHI BAADA YA DROO YA CAF
FRANK Kamugisha, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Mashindano ndani ya Yanga amesema kuwa mpango wa kuweka kambi nje ya…
HICHI NDICHO KILICHOMPA SHAVU BILAL ALLIANCE
ATHUMAN Bilal ndiye mrithi wa mikoba ya Malale Hamsin aliyekuwa anakinoa kikosi cha Alliance FC.Mwenyekti wa Kamati ya mashindano ya…
SIMBA: KWA USAJILI HUU NI MWENDO WA MAKOMBE TU
NYOTA mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa kwa namna kikosi kilivyo na kambi ya Afrika Kusini ilivyonoga lazima watetee…