Trending Stories
View All
MWINYI ZAHERA ATIA TIMU KAMBINI MOROGORO, SHANGWE KAMA LOTE
MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga leo amewasili kambini Morogoro na kupokelewa kwa shangwe za kutosha na mashabiki wa mkoani…
KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KIAKACHOANZA LEO DHIDI YA KENYA, UWANJA WA TAIFA
JESHI zima la timu ya Taifa leo uwanja wa Taifa dhidi ya Kenya1.Juma Kaseja2.Paul Godfery3,Gadiel Michael4.Erasto Nyoni5.Kelvin Yondan6.Jonas Mkude7.Hassan Dilunga8.Salum…
NYOTA WA YANGA AMALIZANA NA ALLIANCE FC
JERSON Tegete nyota wa zamani wa kikosi cha Yanga na Kagera Sugar msimu ujao atakuwa ndani ya uzi wa Alliance…
SERGIO ARGUERO ANA REKODI TAMU NDANI YA MANCHESTER CITY
SERGIO Arguero,mshambuliaji wa Manchester City alijiunga na klabu hiyo Julai 28, 2011 akitokea Altletico Madrid na rekodi yake ni tamu.Mpaka…
CHELSEA KULA SAHANI MOJA NA MANCHESTER CITY
FRANK Lampard, meneja wa Chelsea amesema kuwa msimu ujao lazima ale sahani moja na Manchester City pamoja na Liverpool.Lampard amebeba…
KLABU TAJIRI YA CHINA YAMPA AHADI YA MSHAHARA MZITO GARETH BALE WA MADRID
GARETH Bale ni bonge la dili nchini China licha ya Meneja wake Zinadine Zidane kumwambia wazi kwamba ni lazima aondoke…
FIFA KUMPA TUZO YA HESHIMA NYOTA WA ZAMANI WA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON
ALBERT Roger Mooh Milla, Septemba 7 atapewa tuzo na Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kwa kufunga bao akiwa na miaka…
NDAYIRAGIJE:KIKOSI KIPO TAYARI KWA USHINDI LEO
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa kazi leo ni moja kupata matokeo chanya mbele…
MWANAMICHEZO AZIM DEWJI AZIDI KUTENGAMAA
AZIM Dewji ambaye ni mwanamichezo imeelezwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri akiwa amelazwa Taasisi ya Mifupa ya MOI na matibabu…
SEPETU: WACHEZAJI WALITUANGUSHA AFCON, LEO HAPANA, MASHABIKI TUJITOKEZE
WEMA Sepetu, shabiki mkubwa wa timu ya Taifa ya Tanzania na mjumbe wa kamati ya uhamasishaji wa timu ya Taifa…
SIMBA YAWEKA MEZANI MILIONI 10 KWA AJILI YA KELVIN YONDAN, METACHA MNATA, JUMA KASEJA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa endapo timu ya Taifa ya Tanzania itaibuka kidedea mbele ya timu ya Kenya leo watapewa…
JUMA BALINYA, SIBOMANA NA KIPA WA KENYA KUTOA ZAWADI YA NGUVU LEO MOROGORO
NYOTA wote wakali ndani ya Yanga leo kuonyesha maajabu bure uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye mchezo wa kukata na shoka…
NAHODHA STARS: TUNAPENYA LEO MBELE YA KENYA, MASHABIKI MTUPE SAPOTI
JOHN Bocco nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa leo watapambana kuipeperusha Bendera ya Taifa mbele ya Kenya…
YANGA YATAKA MAJEMBE HAYA MAWILI, MMOJA KUMCHOMOA KUTOKA SIMBA
UONGOZI WA Yanga umesema kuwa bado upo sokoni kusaka majembe mengine makali kwa ajili ya msimu ujao.Dirisha la usajili linafungwa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
STAA MPYA YANGA YAMKUTA MAKUBWA, ISHU YA SAUZI IPO LAIVU NI KESHO NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI
KESHO Gazeti la Spoti Xtra Jumapili limesheheni Habari kamili kuhusu kambi ya Yanga Moro pamoja na ile ya Simba Sauzi