Home Authors Posts by admin

admin

24381 POSTS 9 COMMENTS

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KIAKACHOANZA LEO DHIDI YA KENYA, UWANJA...

0
JESHI zima la timu ya Taifa leo uwanja wa Taifa dhidi ya Kenya1.Juma Kaseja2.Paul Godfery3,Gadiel Michael4.Erasto Nyoni5.Kelvin Yondan6.Jonas Mkude7.Hassan Dilunga8.Salum Abobakar9.John Bocco10.Ayubu Lyanga11.Idd SemanAkiba12.Metacha...

NYOTA WA YANGA AMALIZANA NA ALLIANCE FC

0
JERSON Tegete nyota wa zamani wa kikosi cha Yanga na Kagera Sugar msimu ujao atakuwa ndani ya uzi wa Alliance FC ya Mwanza.Uongozi wa...

SERGIO ARGUERO ANA REKODI TAMU NDANI YA MANCHESTER CITY

0
SERGIO Arguero,mshambuliaji wa Manchester City alijiunga na klabu hiyo Julai 28, 2011 akitokea Altletico Madrid na rekodi yake ni tamu.Mpaka sasa amecheza jumla ya...

CHELSEA KULA SAHANI MOJA NA MANCHESTER CITY

0
FRANK Lampard, meneja wa Chelsea amesema kuwa msimu ujao lazima ale sahani moja na Manchester City pamoja na Liverpool.Lampard amebeba mikoba ya Maurizio Sarri...

KLABU TAJIRI YA CHINA YAMPA AHADI YA MSHAHARA MZITO GARETH BALE...

0
GARETH Bale ni bonge la dili nchini China licha ya Meneja wake Zinadine Zidane kumwambia wazi kwamba ni lazima aondoke ndani ya kikosi hicho.Mshambuliaji...

FIFA KUMPA TUZO YA HESHIMA NYOTA WA ZAMANI WA TIMU YA...

0
ALBERT Roger Mooh Milla, Septemba 7 atapewa tuzo na Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kwa kufunga bao akiwa na miaka 42.Mpaka sasa imeshapita miaka...

NDAYIRAGIJE:KIKOSI KIPO TAYARI KWA USHINDI LEO

0
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa kazi leo ni moja kupata matokeo chanya mbele ya Kenya ili kufuzu...

MWANAMICHEZO AZIM DEWJI AZIDI KUTENGAMAA

0
AZIM Dewji ambaye ni mwanamichezo imeelezwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri akiwa amelazwa Taasisi ya Mifupa ya MOI na matibabu baada ya kuumia ajalini...

SEPETU: WACHEZAJI WALITUANGUSHA AFCON, LEO HAPANA, MASHABIKI TUJITOKEZE

0
WEMA Sepetu, shabiki mkubwa wa timu ya Taifa ya Tanzania na mjumbe wa kamati ya uhamasishaji wa timu ya Taifa amewaomba watanzania kujitokeza kwa...

SIMBA YAWEKA MEZANI MILIONI 10 KWA AJILI YA KELVIN YONDAN, METACHA...

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa endapo timu ya Taifa ya Tanzania itaibuka kidedea mbele ya timu ya Kenya leo watapewa zawadi ya milioni 10.Zawadi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS