Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

KUHUSU WACHEZAJI SIMBA KUDAI DAI POSHO ZAO….. UONGOZI WAFUNGUKA HAYA

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salum Abdallah 'Try Again' amesema hakuna mchezi yeyote wa Simba ambaye anadai posho yake. Try Again ameyasema hayo...

AUCHO AFUNGIWA MECHI TATU,REFA COASTAL UNION NA YANGA WAHUSISHWA NJE NUSU...

0
KIUNGO wa Kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho amefungiwa mechi tatu na kutozwa Faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumpiga kiwiko kiungo wa Coastal...

MECHI YA AZAM VS GOR MAHIA YAPEPERUKA ISHU IKO HIVI

0
MCHEZO wa kirafiki baina ya wenyeji, Gor Mahia na Azam FC uliopangwa kufanyika Jumapili Uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi nchini Kenya umefutwa. Taarifa ya Azam...

SIMBA IKO MIKONO SALAMA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

UONGOZI SIMBA WAWAANGUKIA WACHEZAJI, ISHU IKO HIVI

0
Uongozi wa Simba SC umewataka Wachezaji wa Klabu hiyo kupambana na kutambua uchungu wanaoupata Mashabiki na Wanachama pale mambo yanapokwenda mrama. Ombi hilo kwa Wachezaji...

JKT TANZANIA NA SOKO LA USAJILI DIRISHA DOGO

0
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema ana mpango wa kusajili wachezaji wawili kwenye dirisha dogo ili kikosi chake kizidi kufanya vizuri kwenye...

AZAM FC NA MATUMAINI YA UBINGWA LIGI KUU

0
Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo, amesema bado kikosi chake kipo kwenye mbio za ubingwa na kwa sasa wanaendelea na maandalizi kwa ajili...

HAPA SIMBA WAVUNJE TU BENKI MAANA SIO KWA DAU HILI

0
Mabosi wa Simba wanaendelea kukuna kichwa juu ya kumalizana na kocha Abdelhak Benchikha ambaye ndiye pekee aliyepenya kwenye mchujo uliofanyika, ili wamlete kuchukua nafasi...

SAMATTA AWATAMBIA WA NIGER KUWANIA TIKETI YA KOMBE LA DUNIA

0
Nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameweka wazi kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Niger ambao ni wa...

UONGOZI WA YANGA KUNUNUA KILA GOLI LAKI 5

0
Makamu wa Rais wa Yanga SC Arafat Haji ameahidi kutoa shilingi laki 5 kwa kila goli ambalo watafunga Zanzibar U15 kwenye mchezo wa fainali...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS