KILA PEMBE NI VITA, MAPAMBANO YA ASTON VILLA DHIDI YA LIVERPOOL LEO
Patashika nguo mkuchanika Leo Ijumaa Mei 15, 2026 saa 22:00, uwanja wa Villa Park utashuhudia pambano la kipa wawili bora wa dunia…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
Patashika nguo mkuchanika Leo Ijumaa Mei 15, 2026 saa 22:00, uwanja wa Villa Park utashuhudia pambano la kipa wawili bora wa dunia…
Beki wa Simba SC, Ismael Olivier Toure, amesema mchezo wa jana dhidi ya Mashujaa FC ulikuwa na uzito mkubwa sana kwake binafsi…
KWA takribani miaka 90 sasa, klabu ya Young Africans S.C. imebeba ndoto kubwa ya muda mrefu ya kumiliki uwanja wake binafsi ndoto…
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amesema hana presha yoyote wala ushindani binafsi katika mbio za kuwania tuzo ya…
UONGOZI wa Yanga SC unaendelea na mchakato wa kutafuta mrithi wa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pedro, huku jina la kocha kijana…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema timu hiyo imepiga hatua kubwa katika mbio za kuwania…
CONSTANTINE, ALGERIA: TIMU ya taifa ya Algeria inajipanga kurejesha heshima yake katika soka la Afrika na dunia ikiweka malengo ya kufanya makubwa…
KATI ya dansa wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa hapa nchini, ni pamoja na Angel Nyigu ambaye ametumika kuzipamba video nyingi za…
MECHI kati ya Uhamiaji na JKU itakayochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Mao B kisiwani Unguja, itakuwa yenye ushindani wa kusaka alama…
NI zamu ya mabinti, baada ya mechi ya watani wa jadi ya kaka zao Simba na Yanga iliyotoka kwa sare ya 2-2,…
WAKATI Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikitarajia kuanza kesho kwenye Uwanja wa Don Bosco, Upanga, baadhi…
Kuna wakati bahati haitaki kelele nyingi, inahitaji uamuzi tu wa kujaribu. Ndiyo maana vijana wengi kwa sasa wamehamia kwenye promosheni ya Samsung A26…